Afrika na Uafrika: Nini kiliwafikisha hapa Liberia kufanya unyama huu 1980

Afrika na Uafrika: Nini kiliwafikisha hapa Liberia kufanya unyama huu 1980

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980

1714464117319.png
 
Liberia wamenyooshana mpaka wenyewe wametulia,wakati mwingine nchi inabidi damu imagine mpaka mkae sawa
Heshima itakuwepo

Ova
 
Liberia wamenyooshana mpaka wenyewe wametulia,wakati mwingine nchi inabidi damu imagine mpaka mkae sawa
Heshima itakuwepo

Ova
waichoshwa na uonevu na kutosikilizwa vilio vyao
 
Waafrika weusi waliotoka Marekani walipofika Liberia wakaanza kujiona matawai ya juu. Wakaanza kuwakandamiza waafrika waliowakuta na kuwatawala kwa zaidi ya miaka 100(Chama chao ndiyo chama kilichotawaa kwa miaka mingi zaidi Afrika). Mwisho Waafrika wenyeji wakachoka nao. Ndiyo hao unawaona wanapigwa risasi. Ellen Sirleaf aliponea chupuchupu.
 
Back
Top Bottom