NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Hapa Afrika unapozungumzia jamii ya watu walioendelea zaidi basi ni wanaijeria hata wale wambao wapo Diaspora.
Najua utakimbilia kusema kuna Black americans kina Jay Z lakini hao bado ni wachache sana hawawezi kufikia wanaijeria kina Dangote, pia huko Marekani ni jamii inayowakilisha watu weusi kuwa na kipato cha juu zaidi, watu walioelimika, na kuajiriwa kampuni kubwa ama serikalini.
Lakini sasa nikianza kupima wawakilishi hawa katika medani za kidunia naona bado wapo nyuma mno mno mno. waafrika hatuna mnyinge wetu ?
je Afrika imelaaniwa unyonge ?