Afrika Tulilogwaje?, Eti Huyu ni Kiongozi wa Nchi!.

Sudan ya kusini ni shida kule ukiajiriwa serikalini hakuna kustaafu ,hakuna mfumo wa pensheni halafu mishahara yao inatolewa kwa mafungu mwezi huu mnaweza msilipwe mkalipwa mwezi ujao waliolipwa mwezi uliopita wasilipwe.
Ila hiyo nchi ukiwa na passport ya Tanzania unaingia free unagongewa entry pemirt bila kulipia fedha yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…