Afrika tumepoteza utamaduni wetu, madam Rais amevaa kimagharibi

Baada ya WWII, Mfalme wa Holland alijenga kiwanda cha kutengeneza vitenge. Alipatia vijana wengi sana ajira katika jitihada za kuondokana na recession. Soko kuu likiwa Ghana. Vikitoka Ghana na Nigeria vinafika Congo mpaka Kigoma.
Hivi cha kwetu sisi ni nini hasa? Ila Wamasai kama wananunua fabrics zao kutoka kwa Mabeberu pia, inabidi wajitafakari sana?
 
Ohoooo, Kuna mwingine alisema humu hata hivi vinavyotoka Congo, watu wanaita vutenge vya congo, sio kama vinatengenenezwa Congo, ila ile ni njia tuu ya kuja Tz, akadai vinatokea Zambia, mwingne akapinga, sasa nikabaki tuu na mwaswali yasio na majibu.
Kitu inatokea kwa Mholanzi ndugu.
 
Hivi cha kwetu sisi ni nini hasa? Ila Wamasai kama wananunua fabrics zao kutoka kwa Mabeberu pia, inabidi wajitafakari sana?
Mwalimu Nyerere alituacha na kiwanda cha vitenge Musoma (Mutex), kulikua wana Mwatex pamoja wan Urafiki.
 
Hivi cha kwetu sisi ni nini hasa? Ila Wamasai kama wananunua fabrics zao kutoka kwa Mabeberu pia, inabidi wajitafakari sana?
Hahaaahaaa! Cha kwetu ni magome ya miti majani na labda cha mwisho ni ile jezi ya kulalia (chukuchuku)
 
View attachment 1687870

Afrika tumepoteza utamaduni wetu. Rais ni alama ya nchi, madam Rais angevaa vazi la asili la Ethiopia angeweza kuitangaza nchi yake zaidi.

Nikiwa shule ya msingi , Waziri Mkuu wa India, Bi Indira Ghandi (RIP) alitembelea Tanzania akiwa ndani ya vazi la Sari. Sijawahi kumuona mama huyu enzi za uhai wake akiwa nje ya vazi la Sari.

Mbali na kupoteza utamaduni wetu, pia tunanufaisha makampuni ya Magharibi. Usishangae gauni la Madam Rais kuwa ni brand ya Chanel na lilimgharimu US$ 2,000 (Sina uhakika na hili).

Ninawasifu wa Afrika Magharibi, wameamua kufanya kitenge kuwa vazi la asili. Nilishaweka historia ya vitenge hapa. Ni vazi Wa Dutch waliiga Indonesia wakati wana tawala. Waindonesia walipogoma kununua kopi ya vazi lao iliyotengenezwa na Mdutch, soko lilitafutwa Afrika.

View attachment 1687872

Nguo ya asili ya Ethiopia.
tumezoea vya kunyonga
 
hivi unataka yule mama avae vazi linaloburuza hivi, unadhani ataonekana serious kweli!! hilo vazi ninla kuvaliwa kwenye shughuli za familia huko, labda harusi hivi nk sio masula serious ya kitaifa.
na hat hao wahindi siku hizi wanavaa kawaida, utamaduni sio mashindano, ni mazoea
 
Sisi asili yetu ni migolole plain. Na inamake sense kwasababu bara letu ni joto sana.
 
Back
Top Bottom