Afrika tumepoteza utamaduni wetu, madam Rais amevaa kimagharibi

Baada ya WWII, Mfalme wa Holland alijenga kiwanda cha kutengeneza vitenge. Alipatia vijana wengi sana ajira katika jitihada za kuondokana na recession. Soko kuu likiwa Ghana. Vikitoka Ghana na Nigeria vinafika Congo mpaka Kigoma.
Hivi cha kwetu sisi ni nini hasa? Ila Wamasai kama wananunua fabrics zao kutoka kwa Mabeberu pia, inabidi wajitafakari sana?
 
Kitu inatokea kwa Mholanzi ndugu.
 
Hivi cha kwetu sisi ni nini hasa? Ila Wamasai kama wananunua fabrics zao kutoka kwa Mabeberu pia, inabidi wajitafakari sana?
Mwalimu Nyerere alituacha na kiwanda cha vitenge Musoma (Mutex), kulikua wana Mwatex pamoja wan Urafiki.
 
Hivi cha kwetu sisi ni nini hasa? Ila Wamasai kama wananunua fabrics zao kutoka kwa Mabeberu pia, inabidi wajitafakari sana?
Hahaaahaaa! Cha kwetu ni magome ya miti majani na labda cha mwisho ni ile jezi ya kulalia (chukuchuku)
 
tumezoea vya kunyonga
 
hivi unataka yule mama avae vazi linaloburuza hivi, unadhani ataonekana serious kweli!! hilo vazi ninla kuvaliwa kwenye shughuli za familia huko, labda harusi hivi nk sio masula serious ya kitaifa.
na hat hao wahindi siku hizi wanavaa kawaida, utamaduni sio mashindano, ni mazoea
 
Sisi asili yetu ni migolole plain. Na inamake sense kwasababu bara letu ni joto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…