Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.
20230110_103552.jpg
 
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.
Mkuu Jasho lake amelitoa kupata hio nafasi ya kuwa RC, so hilo chuma la 600m ndio moja ya matunda ya Jasho lake.

Update: Leo tar 12 April,2023
Mnaouliza jasho lipi?

Comment yangu ilikuwa ni Sarcasm, but kwa Tz hadi uonekane na uweze kuteuliwa kuwa RC lazima Jasho likutoke, Ili kuthibitisha hilo, Jaribu kuitafuta hio nafasi ya RC ndio utaelewa. Kama kazi ya Uwalimu tu kuipata inawatoa jasho vijana. sembuse RC.

Kwa Tanzania, Siasa ni Kazi na sio Uzalendo au Wito, watu wanafanya siasa kwa ajili ya familia zao na sio kwa ajili ya wananchi. Na hili ni kutokana na Wananchi tumeshindwa kusimamia tuliowachagua.
 
Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P
Kama hizo fedha zipo, why not?

With all due respect Pascal 600 M for one car😳 let's check out the reality HIYO HELA HAKUNA. Piga mahesabu kuanzia DC, wabunge na wengineo wakitumia GXR bajeti tunayospendi kwenye magari KIASI Gani?

I saw an article from the Citizen where Tanzania is one amoung the countries which spend a lot of money for buying expensive cars to government officials.
 
Nikiwa Rais naondoa huu upuuzi wa magari..kila mtu ajinunulie gari lake au adandie daladala..

Mbona wafanyakazi wengine wanatumia gharama zao kufika maeneo yao ya kazi?.

Gari zitakuwa chache tu na zitakuwa hazina mwenyewe... ukitokea uhitaji wa kusafiri kikazi ndo utatumika tu and not otherwise.
 
Back
Top Bottom