Huwa tunawapiga picha na haya magari wakiwa mjini.
Lakini kiuhalisia uwe mkuu wa mkoa Ruvuma halafu uanze ziara za Nantumbo huko sijui wilaya gani nyingine ambazo miundombinu ya barabara ovyo. Mara umeitwa Dodoma utoke Mwanza usiku wa manane
Au ziara za mawaziri mikoani sehemu zingine mapori, milima, upite kwenye mto; mjomba kama unatumia gari ‘tia maji, tia maji’ kila siku unabadili shock absorbers au unajikuta unatafuta fundi gari maporini na awepo huyo fundi mwenyewe.
Jumlisha na shughuli ya kushinda njiani siku kadhaa au week, surely unahitaji gari comfortable kidogo.
Binafsi sikubaliani na matumizi mengi ya ovyo ila kwenye magari naona logic yake, it is justified.