Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Nikiwa Rais naondoa huu upuuzi wa magari..kila mtu ajinunulie gari lake au adandie daladala..

Mbona wafanyakazi wengine wanatumia gharama zao kufika maeneo yao ya kazi?.

Gari zitakuwa chache tu na zitakuwa hazina mwenyewe..ukitokea uhitaji wa kusafiri kikazi ndo utatumika tu and not otherwise.
Bahati nzuri utakuwa raisi ambaye atahudumu kwa muda mfupi mno. 🤣🤣🤣 Kabla Corona ya mchongo haijalala mbele na wewe.
 
Halafu unaambiwa kati ya wanafunzi 50K wahitimu std 7 2022 wenye sifa kujiunga shule za bweni za serikali ni 4K pekee wamepata nafasi hiyo sababu kuna shule 38 pekee nchini.

Baada ya mwaka hilo gari litakuwa linaenda kulala kwa dereva wa RC huko nje ya mji anakoishi basi ni vurugu tupu hadi wanae watajifunzia hilo kuendesha.

 
Sema ni watu hawajui tuu kuwa kusudi la Mungu kumuumba binadamu, ni ili binadamu apate raha!. Raha ni baraka na shida ni laana!.
Kama ulivyo utajiri ni baraka, umasikini no laana!.
P
Ni sahihi kabisa ila Mungu hakuwa na kusudi watu wale raha kwa hela haramu ufisadi au kodi za wananchi masikini. Pata raha kwa jasho lako.
 
Hakika haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za taifa. this nonsense should stop. Taifa hili lina matatizo mengi ambayo hiyo fedha ingetumika kuyatatua. Mama Samia tunakuomba uzuie, huo ndiyo uhujumu uchumi.
Hakika
 
Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P
Kwenye taifa lililojaa vijana wasiokuwa na ajira rasmi na umasikini wa kutupwa?kwani kipindi kile Mwalimu anatawala kiwanda cha Marcedes Benz kilikuwa bado hakijafunguliwa ili Mwalimu ale Bata na Mawaziri na RCs wake waote!

Huwa nawaza hivi hizi pesa tungezielekeza kwenye Kilimo kupitia Magereza na JKT wqkishirikiana na SUA si tungekuwa mbali sana kwa kulisha Afrika na Dunia.

Kaka Pascal tumepotea sana Tanzania au ndiyo Mungu anatuonesha watesi wetu kwa vitendo!
 
Back
Top Bottom