Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 919
- 1,192
Pasco huwa wakati mwingine sikuelewi!!! hizo milion 600 zingesambaza umeme vitongoji vingapi? Umaskini wetu ni viongozi wetu......Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P
Huyu ana nuksi, vinginevyo angekuwa amepewa siku nyingi sana kutokana na kujikomba anakofanya.Jitahidi Kafulila alianza hivyo hivyo
LOooh!Pasco huwa wakati mwingine sikuelewi!!! hizo milion 600 zingesambaza umeme vitongoji vingapi? Umaskini wetu ni viongozi wetu......
Land Rover 109 sio defender !Defender enzi za Nyerere 1962-1985?
Kwa mtu wa umri wako haipendezi kabisa kujipendekeza this much.Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P
Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P
Wakati mwingine Paskali unakuwa na akili za ki.pumba.vu sana!Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P
Hivi roho za kimasikini una maanisha nini? Kwamba kwa sababu sisi hatuna uwezo wa kununua hayo magari hivyo tunawaonea donge hao viongozi wenye hayo magari?Watu mna roho za kimaskini, ulitaka atembelee passo?
Ok kwahiyo sababu za msingi kununuliwa hayo magari ni kuwa na hadhi ya kuendana na msafara wa Rais na sababu ya pili ni baadhi ya mikoa kuna barabara korofi na hayo ndio magari yenye kufaa kwa hizo barabara.Tatizo mkoa unaoujua wewe ni dar tu,unaona toka ilala mpaka temeke hata kwa bajaji unaenda,hufikirii Kuna mikoa Ina barabara korofi na 400+km wilaya mpaka wilaya ambazo mkuu wa mkoa anatakiwa kuzitembelea
Hivi msafara wa raisi lazima kila kiongozi awe na gari lake? Hawawezi kupanda coaster au yutong? Mbona yanakimbia vizrui tuOk kwahiyo sababu za msingi kununuliwa hayo magari ni kuwa na hadhi ya kuendana na msafara wa Rais na sababu ya pili ni baadhi ya mikoa kuna barabara korofi na hayo ndio magari yenye kufaa kwa hizo barabara.
Hizi ndizo hizo hizo self seeking and justifications....Kwani nchi ni Tanzania tu, hakuna kwingine duniani things are done better than we do?Kawaida mambo yakiharibika huwa jamii ailaumu watumishi wa umma bali wanasiasa (mawaziri).
Halikadhalika kama kuna photo opportunity serikali imefanikiwa kwenye jambo watataka wachukue hizo credit.
Ni kwamba hizo safari azikwepeki
Lengo halikuwa kukashifu wa bushi. Ila pia wapo waliozaliwa mjini na baba/mama zao walikuwa watawala nao sasa ni watawala pia.Nimejaribu kujisitiri, nashindwa.
Seriously??? Kwa vile wamezaliwa "Bush" Aiseee,
Yaani ukizaliwa "Bush" ni ruhusa kuagiza Gari la fahari unalotaka pasipo kufuata Gazzetted-Authorised and Recomended- Kwa Urefu wa kamba yako wa Mbuzi?? V800?
...ndugu yangu pole na hasira, poleni wote wenye hasira. Hata mimi nina Hasira....nakula sambusa hapa na mihogo, nipunguze hasira zangu kuitwa "Bush" born(sina V.800 na sifanyi Serikalini)
Aisee
Haya ninayosoma kutoka kwa baadhi ya wanahudhuri yanatia njaa, yanaleta Hasira.
Eneweyi zipo Wakati nasoma, najiambia 'Oh well, 'A Classic; "Class Warfare" ...na inatumika kutenga zaidi kuliko kuleta mshikamano' Pande zote ni za kulaumiwa Born Town na Bush Born. Kuku na Mayai na nani ametangulia kuvuka barabara nani katoka kwanza....Aisee
...Tufanye nini, tuliozaliwa Bush? tutembee na Ng'ombe-tuitwe washamba? 'Unigambire waht'?
Na Ma Born Town tuache Ma V800 tuendeshe bajaji inayovutwa na Ng'ombe Tuitwe Washamba? C'mon meh (nimepunja herufi makusudi)
Hayo juu ni Rhetorical!! na Nje ya mada.
Asubuhi Njema.
Our Mindset has to Change, equally.Born town, Bush Born
Tuache PPP.
Utegemee akili kama hii kupindua mawazo ya akina Musk?! Tutaendelea kuwa wapendwa watazamaji wa wenzetu!Ok kwahiyo sababu za msingi kununuliwa hayo magari ni kuwa na hadhi ya kuendana na msafara wa Rais na sababu ya pili ni baadhi ya mikoa kuna barabara korofi na hayo ndio magari yenye kufaa kwa hizo barabara.
Hizi hasira zingeleta tija sana kama ungeweza kutoa sababu za kwanini watu wanafikiria kuji starehesha kwkaupitia kodi za umma zaidi badala ya kutumia nafasi hizo kuondoa hao ambao wana fight hizo classesNimejaribu kujisitiri, nashindwa.
Seriously??? Kwa vile wamezaliwa "Bush" Aiseee,
Yaani ukizaliwa "Bush" ni ruhusa kuagiza Gari la fahari unalotaka pasipo kufuata Gazzetted-Authorised and Recomended- Kwa Urefu wa kamba yako wa Mbuzi?? V800?
...ndugu yangu pole na hasira, poleni wote wenye hasira. Hata mimi nina Hasira....nakula sambusa hapa na mihogo, nipunguze hasira zangu kuitwa "Bush" born(sina V.800 na sifanyi Serikalini)
Aisee
Haya ninayosoma kutoka kwa baadhi ya wanahudhuri yanatia njaa, yanaleta Hasira.
Eneweyi zipo Wakati nasoma, najiambia 'Oh well, 'A Classic; "Class Warfare" ...na inatumika kutenga zaidi kuliko kuleta mshikamano' Pande zote ni za kulaumiwa Born Town na Bush Born. Kuku na Mayai na nani ametangulia kuvuka barabara nani katoka kwanza....Aisee
...Tufanye nini, tuliozaliwa Bush? tutembee na Ng'ombe-tuitwe washamba? 'Unigambire waht'?
Na Ma Born Town tuache Ma V800 tuendeshe bajaji inayovutwa na Ng'ombe Tuitwe Washamba? C'mon meh (nimepunja herufi makusudi)
Hayo juu ni Rhetorical!! na Nje ya mada.
Asubuhi Njema.
Our Mindset has to Change, equally.Born town, Bush Born
Tuache PPP.
Tatizo ni kuwa tabia hizo zinaleta hasira na kufanya mtu akili kushindwa kufikiria sawasawa, kwahiyo anatafuta sababu yeyote iliyokaribu na fikra zake...The bottom line is; ni tabia mbaya sanasana!Lengo halikuwa kukashifu wa bushi. Ila pia wapo waliozaliwa mjini na baba/mama zao walikuwa watawala nao sasa ni watawala pia.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
EgoHivi msafara wa raisi lazima kila kiongozi awe na gari lake? Hawawezi kupanda coaster au yutong? Mbona yanakimbia vizrui tu
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Wewe endelea kupuyanga .ndio mana ukaambiwa hata uwe bingwa wa kuosha vyombo kwenu huwez kuosha vyombo vya serikal. Endelea kupokea ushaur wa kijinga ukose dawa huko kwenuSure broo hela zetu zinatumika kizembe sana
Dah babu tufanye shughuli zingine,chuki kwa maofisa wa serikali hazitusaidiiOk kwahiyo sababu za msingi kununuliwa hayo magari ni kuwa na hadhi ya kuendana na msafara wa Rais na sababu ya pili ni baadhi ya mikoa kuna barabara korofi na hayo ndio magari yenye kufaa kwa hizo barabara.