Nimejaribu kujisitiri, nashindwa.
Seriously??? Kwa vile wamezaliwa "Bush" Aiseee,
Yaani ukizaliwa "Bush" ni ruhusa kuagiza Gari la fahari unalotaka pasipo kufuata Gazzetted-Authorised and Recomended- Kwa Urefu wa kamba yako wa Mbuzi?? V800?
...ndugu yangu pole na hasira, poleni wote wenye hasira. Hata mimi nina Hasira....nakula sambusa hapa na mihogo, nipunguze hasira zangu kuitwa "Bush" born(sina V.800 na sifanyi Serikalini)
Aisee
Haya ninayosoma kutoka kwa baadhi ya wanahudhuri yanatia njaa, yanaleta Hasira.
Eneweyi zipo Wakati nasoma, najiambia 'Oh well, 'A Classic; "Class Warfare" ...na inatumika kutenga zaidi kuliko kuleta mshikamano' Pande zote ni za kulaumiwa Born Town na Bush Born. Kuku na Mayai na nani ametangulia kuvuka barabara nani katoka kwanza....Aisee
...Tufanye nini, tuliozaliwa Bush? tutembee na Ng'ombe-tuitwe washamba? 'Unigambire waht'?
Na Ma Born Town tuache Ma V800 tuendeshe bajaji inayovutwa na Ng'ombe Tuitwe Washamba? C'mon meh (nimepunja herufi makusudi)
Hayo juu ni Rhetorical!! na Nje ya mada.
Asubuhi Njema.
Our Mindset has to Change, equally.Born town, Bush Born
Tuache PPP.