Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P
Pasco huwa wakati mwingine sikuelewi!!! hizo milion 600 zingesambaza umeme vitongoji vingapi? Umaskini wetu ni viongozi wetu......
 
Jitahidi Kafulila alianza hivyo hivyo
Huyu ana nuksi, vinginevyo angekuwa amepewa siku nyingi sana kutokana na kujikomba anakofanya.

Nuksi hiyo hiyo ilimwandama hatakatika kutafuta ubunge!
Katika watu wenye damu ya kunguni, huyu ya kwake ni zaidi.
 
Pasco huwa wakati mwingine sikuelewi!!! hizo milion 600 zingesambaza umeme vitongoji vingapi? Umaskini wetu ni viongozi wetu......
LOooh!
Unasema "humuelewi"?

Unataka afanye nini ndiyo umuelewe wewe! Avue nguo na kukimbia uchi mitaani, au siyo? Maana hilo ndilo naona lililobaki kwa mtu kama huyo.
 
Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P

Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P
Wakati mwingine Paskali unakuwa na akili za ki.pumba.vu sana!

Kwahiyo Tundu Lissu alipigwa risasi na majambazi yanayoweza pia kushambulia Wakuu wa Mikoa ,Mawaziri na Viongozi wengine wa Serikali?!

Ndiyo maana Wateuzi wameku-ignore kwa muda mrefu regardless ya efforts zako kadhaa maana wanaona thinking yako ni ya mediocre fulani hivi!

Hakuna justification ya matumizi ya hayo Magari kwa Nchi masikini kama yetu!

Google hapo matokeo ya Fomu 2 Shule ya Sekondari Mburahati 2022 uone!!!
Shule iliyoko Dar es Salaam lakini matokeo ni ya kuzalisha madada poa na panya road tu!

Ndio maana nawambia siku zote hizo siyo Shule bali ni VITUO VYA KUZUILIA WATOTO MCHANA !!
Halafu eti wewe unasapoti mpuuzi mmoja ambaye ameteuliwa tu tena bila ushindani wowote kutembelea gari ya Milioni 600!!
 
Nimejaribu kujisitiri, nashindwa.

Seriously??? Kwa vile wamezaliwa "Bush" Aiseee,

Yaani ukizaliwa "Bush" ni ruhusa kuagiza Gari la fahari unalotaka pasipo kufuata Gazzetted-Authorised and Recomended- Kwa Urefu wa kamba yako wa Mbuzi?? V800?

...ndugu yangu pole na hasira, poleni wote wenye hasira. Hata mimi nina Hasira....nakula sambusa hapa na mihogo, nipunguze hasira zangu kuitwa "Bush" born(sina V.800 na sifanyi Serikalini)

Aisee

Haya ninayosoma kutoka kwa baadhi ya wanahudhuri yanatia njaa, yanaleta Hasira.

Eneweyi zipo Wakati nasoma, najiambia 'Oh well, 'A Classic; "Class Warfare" ...na inatumika kutenga zaidi kuliko kuleta mshikamano' Pande zote ni za kulaumiwa Born Town na Bush Born. Kuku na Mayai na nani ametangulia kuvuka barabara nani katoka kwanza....Aisee

...Tufanye nini, tuliozaliwa Bush? tutembee na Ng'ombe-tuitwe washamba? 'Unigambire waht'?

Na Ma Born Town tuache Ma V800 tuendeshe bajaji inayovutwa na Ng'ombe Tuitwe Washamba? C'mon meh (nimepunja herufi makusudi)

Hayo juu ni Rhetorical!! na Nje ya mada.
Asubuhi Njema.

Our Mindset has to Change, equally.Born town, Bush Born

Tuache PPP.
 
Tatizo mkoa unaoujua wewe ni dar tu,unaona toka ilala mpaka temeke hata kwa bajaji unaenda,hufikirii Kuna mikoa Ina barabara korofi na 400+km wilaya mpaka wilaya ambazo mkuu wa mkoa anatakiwa kuzitembelea
Ok kwahiyo sababu za msingi kununuliwa hayo magari ni kuwa na hadhi ya kuendana na msafara wa Rais na sababu ya pili ni baadhi ya mikoa kuna barabara korofi na hayo ndio magari yenye kufaa kwa hizo barabara.
 
Hivi msafara wa raisi lazima kila kiongozi awe na gari lake? Hawawezi kupanda coaster au yutong? Mbona yanakimbia vizrui tu

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Kawaida mambo yakiharibika huwa jamii ailaumu watumishi wa umma bali wanasiasa (mawaziri).

Halikadhalika kama kuna photo opportunity serikali imefanikiwa kwenye jambo watataka wachukue hizo credit.

Ni kwamba hizo safari azikwepeki
Hizi ndizo hizo hizo self seeking and justifications....Kwani nchi ni Tanzania tu, hakuna kwingine duniani things are done better than we do?
 
Nimejaribu kujisitiri, nashindwa.

Seriously??? Kwa vile wamezaliwa "Bush" Aiseee,

Yaani ukizaliwa "Bush" ni ruhusa kuagiza Gari la fahari unalotaka pasipo kufuata Gazzetted-Authorised and Recomended- Kwa Urefu wa kamba yako wa Mbuzi?? V800?

...ndugu yangu pole na hasira, poleni wote wenye hasira. Hata mimi nina Hasira....nakula sambusa hapa na mihogo, nipunguze hasira zangu kuitwa "Bush" born(sina V.800 na sifanyi Serikalini)

Aisee

Haya ninayosoma kutoka kwa baadhi ya wanahudhuri yanatia njaa, yanaleta Hasira.

Eneweyi zipo Wakati nasoma, najiambia 'Oh well, 'A Classic; "Class Warfare" ...na inatumika kutenga zaidi kuliko kuleta mshikamano' Pande zote ni za kulaumiwa Born Town na Bush Born. Kuku na Mayai na nani ametangulia kuvuka barabara nani katoka kwanza....Aisee

...Tufanye nini, tuliozaliwa Bush? tutembee na Ng'ombe-tuitwe washamba? 'Unigambire waht'?

Na Ma Born Town tuache Ma V800 tuendeshe bajaji inayovutwa na Ng'ombe Tuitwe Washamba? C'mon meh (nimepunja herufi makusudi)

Hayo juu ni Rhetorical!! na Nje ya mada.
Asubuhi Njema.

Our Mindset has to Change, equally.Born town, Bush Born

Tuache PPP.
Lengo halikuwa kukashifu wa bushi. Ila pia wapo waliozaliwa mjini na baba/mama zao walikuwa watawala nao sasa ni watawala pia.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Ok kwahiyo sababu za msingi kununuliwa hayo magari ni kuwa na hadhi ya kuendana na msafara wa Rais na sababu ya pili ni baadhi ya mikoa kuna barabara korofi na hayo ndio magari yenye kufaa kwa hizo barabara.
Utegemee akili kama hii kupindua mawazo ya akina Musk?! Tutaendelea kuwa wapendwa watazamaji wa wenzetu!
 
Nimejaribu kujisitiri, nashindwa.

Seriously??? Kwa vile wamezaliwa "Bush" Aiseee,

Yaani ukizaliwa "Bush" ni ruhusa kuagiza Gari la fahari unalotaka pasipo kufuata Gazzetted-Authorised and Recomended- Kwa Urefu wa kamba yako wa Mbuzi?? V800?

...ndugu yangu pole na hasira, poleni wote wenye hasira. Hata mimi nina Hasira....nakula sambusa hapa na mihogo, nipunguze hasira zangu kuitwa "Bush" born(sina V.800 na sifanyi Serikalini)

Aisee

Haya ninayosoma kutoka kwa baadhi ya wanahudhuri yanatia njaa, yanaleta Hasira.

Eneweyi zipo Wakati nasoma, najiambia 'Oh well, 'A Classic; "Class Warfare" ...na inatumika kutenga zaidi kuliko kuleta mshikamano' Pande zote ni za kulaumiwa Born Town na Bush Born. Kuku na Mayai na nani ametangulia kuvuka barabara nani katoka kwanza....Aisee

...Tufanye nini, tuliozaliwa Bush? tutembee na Ng'ombe-tuitwe washamba? 'Unigambire waht'?

Na Ma Born Town tuache Ma V800 tuendeshe bajaji inayovutwa na Ng'ombe Tuitwe Washamba? C'mon meh (nimepunja herufi makusudi)

Hayo juu ni Rhetorical!! na Nje ya mada.
Asubuhi Njema.

Our Mindset has to Change, equally.Born town, Bush Born

Tuache PPP.
Hizi hasira zingeleta tija sana kama ungeweza kutoa sababu za kwanini watu wanafikiria kuji starehesha kwkaupitia kodi za umma zaidi badala ya kutumia nafasi hizo kuondoa hao ambao wana fight hizo classes
 
Lengo halikuwa kukashifu wa bushi. Ila pia wapo waliozaliwa mjini na baba/mama zao walikuwa watawala nao sasa ni watawala pia.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Tatizo ni kuwa tabia hizo zinaleta hasira na kufanya mtu akili kushindwa kufikiria sawasawa, kwahiyo anatafuta sababu yeyote iliyokaribu na fikra zake...The bottom line is; ni tabia mbaya sanasana!
 
Africa ni kama haina viongozi watu mkuu. Itazidi kuwa masikini miaka na miaka
 
Sure broo hela zetu zinatumika kizembe sana
Wewe endelea kupuyanga .ndio mana ukaambiwa hata uwe bingwa wa kuosha vyombo kwenu huwez kuosha vyombo vya serikal. Endelea kupokea ushaur wa kijinga ukose dawa huko kwenu
 
Back
Top Bottom