Nikiwa Rais naondoa huu upuuzi wa magari..kila mtu ajinunulie gari lake au adandie daladala..
Mbona wafanyakazi wengine wanatumia gharama zao kufika maeneo yao ya kazi?.
Gari zitakuwa chache tu na zitakuwa hazina mwenyewe..ukitokea uhitaji wa kusafiri kikazi ndo utatumika tu and not otherwise.
Halafu Kiongozi kama huyo unatarajia akutatulie changamoto zako za kumudu milo mitatu kwa siku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy! Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P
Nini muhimu kati ya wanafunzi kukaa chini na uhai wa mtu au roho ya mtu?.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee, wanafunzi wa shule za 'usweken' waendelee kukaa chini na zahanati ziendelee kukosa dawa huko tozo ni mwendo mdundo alimradi tafrani bora viongozi wawe wanatumia armoured vehicles.
Asalaleeee.
Nini muhimu kati ya wanafunzi kukaa chini na uhai wa mtu au roho ya mtu?.
Maadam magari ya kulinda roho za watu dhidi ya pyu pyu yapo, na kuna watu ni too risk kushambuliwa kwa pyu pyu, kama uwezo wa kuyanunua upo why not?.
P
Raise Nate itakuwa la milioni 1000Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Paskali na wewe una mawazo ya hivi?Kama hizo fedha zipo, why not?
So what!?Viongozi wetu deserve the best that money can buy!
Afrika na waafrika tukifika mbinguni,basi tutafika tukiwa tumechoka saaanaa.🤔.Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Hili ndio tatizo, hasa kukaa chumba kimoja na mbuzi, inaweza athiri ubongo permanently!Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi
Wacha halafu unaambiwa kuna uhaba wa madarasa
Je nani alimshambulia Lisu?Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy! Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P