Afrika tunahitaji chakula kuliko Demokrasia

Afrika tunahitaji chakula kuliko Demokrasia

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Nikiangalia ndugu zangu wakiomba omba kwa matajiri wa Kihindi. Nachelea kusema majority hatuhitaji demokrasia Bali Chakula tushibe Kwanza.

Haya ya kupiga Kura sijui tume huru ya uchaguzi yanataka watu washibe kwanza.

Kurasini, yupo tajiri anatoa msosi kila jioni (wali-maharage) hiyo nyomi mpaka aibu.

images (18).jpeg
images (19).jpeg
 
Mzee Rungwe alileta sera ya msosi kwanza mkamuona kichaa.

Hata wanasayansi wakubwa walioleta mageuzi makubwa duniani awali walionekana vichaa.

Weredi na njaa havikai pamoja, huwezi kufikiri vizuri ili hali una njaa.
 
Kuna uhusiano gani kati ya chakula na demokrasia?
Ni sawa na kusema hauhitaji maadui unahitaji Nguo.
 
Sehemu kubwa ya Africa haina demokrasia kwa zaidi ya miaka 50 na bado kuna watu wengi sana wenye njaa.
Nikiangalia ndugu zangu wakiomba omba kwa matajiri wa Kihindi. Nachelea kusema majority hatuhitaji demokrasia Bali Chakula tushibe Kwanza. Haya ya kupiga Kura sijui tume huru ya uchaguzi yanataka watu washibe kwanza.
Kurasini, yupo tajiri anatoa msosi kila jioni (wali-maharage) hiyo nyomi mpaka aibu.
 
Afrika bado hata kuchakata data Ni changamoto
Burundi hawana demokrasia je hawana njaa? Uganda hawana demokrasia je hawana njaa?
Magufuli aliua demokrasia Tanzania lakini bado mbona tuna njaa.

Je Demokrasia ndio inasababisha tuwe na njaa?
 
Back
Top Bottom