Afrika Yaandika Historia Kombe la Dunia 2026 – Tanzania Tujifunze kutoka kwao

Kombe la Dunia 2026 limeonyesha kuwa soka la Afrika limefikia hatua mpya. Mataifa mengi ya Afrika yamefanikiwa kuvuka hatua ya makundi na kuthibitisha kuwa yanaweza kushindana na vigogo wa soka duniani. Hii ni fahari kwa bara zima.

Lakini mafanikio haya yanapaswa pia kuwa somo kwa Tanzania. Wakati wenzetu wakivuna matunda ya uwekezaji wa muda mrefu katika academies, maendeleo ya ligi, miundombinu na ukuzaji wa vipaji, Tanzania bado ina kazi kubwa ya kufanya ili kufikia kiwango hicho.

Tunapaswa kujiuliza: Kwa nini Morocco, Senegal, South Africa, Ghana, DR Congo, Cape Verde na mataifa mengine yanaendelea kuonekana Kombe la Dunia, huku Tanzania ikiendelea kusubiri nafasi yake?

Jibu si bahati. Ni mipango, uwekezaji, uwajibikaji na maamuzi sahihi katika maendeleo ya soka.
Ikiwa Tanzania itawekeza kwa dhati katika vijana, makocha, miundombinu, na kuimarisha mfumo wa ligi, hakuna sababu ya kuendelea kuwa watazamaji wakati mataifa mengine ya Afrika yanaandika historia.

Mafanikio ya Afrika si habari tu ya kushangilia; ni changamoto kwetu kubadilika. Siku moja, bendera ya Tanzania inaweza kupepea katika Kombe la Dunia—lakini hilo litawezekana kwa maandalizi ya leo, si kwa kutegemea miujiza ya kesho.

Afrika inaonyesha inawezekana. Sasa ni zamu ya Tanzania kuamua kama itaendelea kutazama historia ikiandikwa, au itakuwa sehemu ya historia hiyo.
Unategemea na chawa washiriki kombe la dunia?
 
Mvaa kobazi gani wewe unashabikia mpira! Yule Kobaz mwenzako naye eti anajiita jina la mwana mieleka maarufu THE BIG SHOW! Tena ambaye ni Kaffir! Ameweka na avatar ya Kaffir mla kitimoto kwenye profile yake! Acheni unafiki ndugu zangu katika imaan.
 
Cape Verde population yao ni watu chini ya milioni ila wamatoa timu yenye upinzani. Sisi tupo milioni 60 plus...tunasifia upuuzi tu.
Sababu ya uraia Pacha, Morocco starting 11 ni mmoja Tu anatoka Morocco. Cape Verde Wana wachezaji 14 toka mataifa makubwa kama Uholanzi, Portugal na ufaransa, DRC na wengineo ni same issue.

Mataifa mengi ambayo original ndio walikua wababe wa Africa kama Cameroon, Nigeria etc hawafanyi vizuri sasa hivi sababu ya hii issue ya uraia Pacha.

So tulichomiss sisi compare na hao wengine ni kutuokua na Watanzania wengi wenye uraia Pacha.
 
Mafanikio ya Afrika si habari tu ya kushangilia; ni changamoto kwetu kubadilika
Nakumbuka ile fainali ya Serengeti Boys kule Morocco mwezi uliopita washangiliaji walikuwa wanamuimba Samiaaa samiaaa🤣🤣🤣🤣

Imagine sasa Tanzania inacheza Kansas City halafu mnashangilia Samiaaa😅😅
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA
Ushawahi kulala halafu akaja mchawi ile kuita mama sauti haitoki na hataa wakiisikia wanajua ni wenge lako
 
Nchi inatalwaliwa na ccm so what do you expect!?

You can't be serious
 
Sio afrika ndio waje kujifunza kwetu kuhusu bao la mama🐼
 
Best looser imesaidia, kama isingekuwepo hiyo ...
 
Timu zilizoingia km best looser usizihesabu
mashindano yamelegezewa kamba
 
Kombe la Dunia 2026 limeonyesha kuwa soka la Afrika limefikia hatua mpya. Mataifa mengi ya Afrika yamefanikiwa kuvuka hatua ya makundi na kuthibitisha kuwa yanaweza kushindana na vigogo wa soka duniani. Hii ni fahari kwa bara zima.

Lakini mafanikio haya yanapaswa pia kuwa somo kwa Tanzania. Wakati wenzetu wakivuna matunda ya uwekezaji wa muda mrefu katika academies, maendeleo ya ligi, miundombinu na ukuzaji wa vipaji, Tanzania bado ina kazi kubwa ya kufanya ili kufikia kiwango hicho.

Tunapaswa kujiuliza: Kwa nini Morocco, Senegal, South Africa, Ghana, DR Congo, Cape Verde na mataifa mengine yanaendelea kuonekana Kombe la Dunia, huku Tanzania ikiendelea kusubiri nafasi yake?

Jibu si bahati. Ni mipango, uwekezaji, uwajibikaji na maamuzi sahihi katika maendeleo ya soka.
Ikiwa Tanzania itawekeza kwa dhati katika vijana, makocha, miundombinu, na kuimarisha mfumo wa ligi, hakuna sababu ya kuendelea kuwa watazamaji wakati mataifa mengine ya Afrika yanaandika historia.

Mafanikio ya Afrika si habari tu ya kushangilia; ni changamoto kwetu kubadilika. Siku moja, bendera ya Tanzania inaweza kupepea katika Kombe la Dunia—lakini hilo litawezekana kwa maandalizi ya leo, si kwa kutegemea miujiza ya kesho.

Afrika inaonyesha inawezekana. Sasa ni zamu ya Tanzania kuamua kama itaendelea kutazama historia ikiandikwa, au itakuwa sehemu ya historia hiyo.
Congo pamoja na matatizo yao ya vita ila wapo mbele. Sisi na amani yetu imekuwaje?
 
Best looser imesaidia, kama isingekuwepo hiyo ...
5 zimefuzu direct, nne zimefuzu kama best loosers. Mmoja tu Kati ya timu 10 za Afrika ameaga mashindano, naye ni Tunisia.

Moja kwa moja ni
1. Morocco
2. Egypt
3. South Africa
4. Cape Verde
5. Cote D'Ivoire

Best losers
1. DR Congo
2. Ghana
3. Senegal
4. Algeria

Mshindwa (alipigwa mechi zote, ni Tunisia)
 
Congo pamoja na matatizo yao ya vita ila wapo mbele. Sisi na amani yetu imekuwaje?
Mkongo akipata nafasi na akiangalia hali ya kwao lazima atajituma
(Mfano nlionaga kwa nonda shaban)
Tukirudi tz sasa,wakiachana na mpira kuingiza siasa,uchawa wawachie watu wa mpira tu wanaweza kufika huko

Ova
 
Sababu ya uraia Pacha, Morocco starting 11 ni mmoja Tu anatoka Morocco. Cape Verde Wana wachezaji 14 toka mataifa makubwa kama Uholanzi, Portugal na ufaransa, DRC na wengineo ni same issue.

Mataifa mengi ambayo original ndio walikua wababe wa Africa kama Cameroon, Nigeria etc hawafanyi vizuri sasa hivi sababu ya hii issue ya uraia Pacha.

So tulichomiss sisi compare na hao wengine ni kutuokua na Watanzania wengi wenye uraia Pacha.
Ni kuna wachezaji wangapi wanacheza nje wenye uraia wa nchi walizopo na asili ya Tanzania
 
Siku ccm ikitoka mambo mengi mabaya katika nchi hii yatatoweka lkn hadi wakati huo ngojea tuendelee kuzishangaa akina Curacao nchi ya watu 155,000 kucheza World Cup 😛😛😛😛😛
 
Cape Verde population yao ni watu chini ya milioni ila wamatoa timu yenye upinzani. Sisi tupo milioni 60 plus...tunasifia upuuzi tu.
Ishu nivipaji navipaumbele kama ni idadi yawatu bhas china na india zingetawala soka
 
Back
Top Bottom