Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 4,319
- 7,485
Nadhan soccer kwetu ni kipaumbele zaidi ya hizo nchi ulizotajaIshu nivipaji navipaumbele kama ni idadi yawatu bhas china na india zingetawala soka
Nadhan soccer kwetu ni kipaumbele zaidi ya hizo nchi ulizotajaIshu nivipaji navipaumbele kama ni idadi yawatu bhas china na india zingetawala soka
Wakati timu zilipokuwa 32 timu za Afrika zilikuwa ngapiNivile waliongeza idadi ya timu kijana. Hata wakiongeza tena timu kufika 150 lazima tanzania tufuzu na tupate vibonde wetu
Bado ni historia tuHakuna cha historia hapo timu zimeingia nyingi kwa sababu idadi ya timu imeongezeka