Afrika yagundua gari la umeme la bila kuchaji Marekani wagoma kulisajili halifwati kanuni za physics

Exactly hata mimi instincts zinanipeleka huko! Aombe kibali US kwani anataka kuuza huko? Hata kama anataka, akipeleka docs zisizo na shaka kwa nini zikataliwe?
 
Hivi na wewe ni nanga kiasi hiki? Magari yanayotengenezwa duniani kote yanasajiliwa Marekani? Marekani ndiyo inatoa kibali cha kusema hili gari linafuata kanuni ya physics hivyo tulisajili na hili halifuati hivyo tusilisajili? Mbona hii ukiwa na uelewa hata mdogo unaona kabisa kituko?
 
Harati Jamaa kaendaki kinyume na kanuni za Physics wazungu wanahisi ni uchawi wana haha.

Nasikia mwenzake aliuwawa huyo dogo
 
Ni gari gani hapa duniani ulisikia halikupata kibali Marekani na hivyo halikufanikiwa kuuzwa duniani nchi nyinginezo?

Mbona bongo tuna magari mengi sana ambayo kwa sheria za Marekani hayauziki.
Hizi habari za kipuuzi unatuletea humu ndani as if sisi ni wapuuzi kama nyinyi uko kilabuni kwenu.
 
Fanya fact checking kwanza cc. JamiiCheck

Conclusion: findings reveal controversies trailing the inventions claim including the fact that Chikumbutso purchased a Kaiyi X3 Pro electric vehicle and fabricated it with a Browey portable power station.

..... concludes that the claim that Zimbabwean inventor Maxwell Chikumbutso has created a Saith FEV, a “fully self-powering electric vehicle powered entirely by radio waves,” is false.
 
Kuthibisha tecnolojia yake maana yake ni Kutoa Siri za hiyo tecnolojia yake
Akisha toa hiyo Siri mawili eidha aibiwe huo ujuzi au waangalie jinsi ya kudhibiti huo ujuzi

Mbona wao zana zao za kivita wanaficha tecnolojia yake?

Uthibitisho pekee ni kuliwasha na kutembea nalo wiki 2 au 3 bila ya kulizima

Hawa Wazungu wanapenda sana kuturudisha nyuma
 
Gharama ya kuzalisha hizo radio waves ni kubwa kuliko hata gharama ya hilo gari lenyewe.Hapa anazungumzia kusimika minara kama ya simu na kuweka Antenna kwa ajili ya kuzalisha hizo radio waves au atumie radar technology au microwave technology kuzalisha hizo raddio waves maana radio waves si kama oxygen kwamba ipo tu ni wewe kuvuta tu. Angalia makampuni ya simu au vituo vya TV na Radio gharama wanazotumia kusimika Antenna zao kwenye ile minara au gharama za kusimika radar , linganisha na gharama ya hilo gari. Hata kama hiyo antena ya kuzalisha hizo radio waves ataifunga ndani ya gari, kiafya bao ni mbaya sana .Radio waves ni mbaya kiafya ndio maana minara ya simu inapigwa vita kila siku kwenye makazi ya watu sasa nio ujifungie kwenye gari yenye antenna inayozalisha raio waves , siutakufa ndani ya mwaka tu.
 
Wamarekani wamesha attempt kumuua mara kadhaa kwa sumu. Uvumbuzi huu ni taarifa ya Mungu kwa Wazungu kwamba hawana lolote jipya zaidi ya watu weusi. Watu weusi wanevumbua vitu vingi sana ikiwemo reli, helicopter floating objects iliyo pelekea uvumbuzi wa meli. Nawashauri watu weusi tuuzingatie sana vipaji kwa watoto wao hasa kabla mtoto hajaanza shule kwani hapo ndipo mtoto alipo umbiwa awe.
 
Ingawa teknolojia hii inaonekana kuwa mapinduzi makubwa, wanasayansi wengi wameeleza wasiwasi wao. Kulingana na Laws of Thermodynamics, haiwezekani kuzalisha nishati kutoka "hewa" bila kupoteza sehemu ya nishati hiyo katika mchakato wa matumizi.
Badala ya kumpinga wangefanya utafiti watoke na law inayofanya masahihisho ya hiyo law
 
Hapana huyu kijana anasema waves are everywhere hata chini ya maji kuna waves. Ukienda out space kuna waves pia tunavyosema radio waves tunamaanisha waves zipo zilikuwepo hata kabla ya minara. Radio hunasa waves ambazo tayari zipo
 
Naomba kujua,hivi katika jopo la wataalamu wanaothibitisha,huwa lina watu gani,je linajumuhisha waafrika?,na je nani mwenye final say??,na kama kuna uzenguaji kwanini waafrika tusijiamulie wenyewe?!,
Kwakua sasa tunanyimwa misaada, tunaweza kujiamlia wenyewe
 
Well, weka reference ya hizo attempts please, kujustify argument yako na kuprove wazungu hawana jipya zaidi ya weusi! We ni mkongwe tunakufahamu hapa unajua cha kufanya
 
Marekani wasajili kwani wameambiwa gari inauzwa Marekani?

Kama gari inauzwa nchini kwake na Africa inatosha wawapuuze Europeans kamwe Europeans hawatalikubali sababu itaua biashara zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…