Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendiKwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.
Pongezi kwa wawakilishi wetu morocco kwa kuweka historia.
Afrika? Unaleta utani.Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.
Pongezi kwa wawakilishi wetu morocco kwa kuweka historia.
Mtu mweusi/mwafrica ndiye mtu mbaguzi kuliko wote hapa chini ya jua.Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Tuwaite waafrika tuu mambo ya dini ni mambo binafsi hayahusiani na mpira.Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
hao ni waafrika walio fuzu kupitia michuano ya Afrika ndipo wakaenda kombe la dunia.Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Moroko iko ulaya zaidi kuliko Afrika, ni kama Kigamboni na Kurasini kwani ukiwa upande wa Moroko ulaya inaiona na insweza kuingia kwa kuogelea tu.Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.
Pongezi kwa wawakilishi wetu morocco kwa kuweka historia.
Lakini si waliweka wazi ushindi wao ni kwa ajili ya Arabs na Waislamu wote Duniani.Tuwaite waafrika tuu mambo ya dini ni mambo binafsi hayahusiani na mpira.
kwani waislamu wamekufanya nini, mbona mimi ni mkristu lakini sihangaiki na huo upuuzi, mie nashabikia mpira sio dini.Wewe ni mwarabu au Muislamu?
Jina lako linaonekana ni la kike, ama nakosea?!Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Lakini si wao wenyewe waliweka wazi au hukumsikia mchezaji wao?kwani waislamu wamekufanya nini, mbona mimi ni mkristu lakini sihangaiki na huo upuuzi, mie nashabikia mpira sio dini.
mpira unatuunganisha sote.
lakini ilifuzu kwenda kwenye michuano ya kombe la dunia kupitia michuano ya Afrika sio michuano ya ulaya.Moroko iko ulaya zaidi kuliko Afrika, ni kama Kigamboni na Kurasini kwani ukiwa upande wa Moroko ulaya inaiona na insweza kuingia kwa kuogelea tu.
Tumia akili acha upumbavu ule ushindi ni kwa akili waarabu,wamorocco na waislamu acha upumbavuhao ni waafrika walio fuzu kupitia michuano ya Afrika ndipo wakaenda kombe la dunia.
wasinge pitia mchujo wa mashindano ya timu za Afrika wasinge fika hapo walipo.
ni waafrika wenzetu hilo ndio la msingi.
Wafrika wenzako we na nani fala wewehao ni waafrika walio fuzu kupitia michuano ya Afrika ndipo wakaenda kombe la dunia.
wasinge pitia mchujo wa mashindano ya timu za Afrika wasinge fika hapo walipo.
ni waafrika wenzetu hilo ndio la msingi.