Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Lakini wamepata slot ya kucheza kombe la dunia kupitia Africa...Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini wamepata slot ya kucheza kombe la dunia kupitia Africa...Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Tutachukua ulichokisema toka kinywani kwako.Kwa hiyo mm nikishinda tuzo nikasema hii ni kwa ajili ya watanzania then mm siyo muafrica??
Mnafikiriaga kutumia nn hv??
Elewa swali..... je nitakuwa siyo muafrica??Tutachukua ulichokisema toka kinywani kwako.
Nakuunga mkonoMtu mweusi/mwafrica ndiye mtu mbaguzi kuliko wote hapa duniani.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Morocco siyo Africa.Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.
Pongezi kwa wawakilishi wetu morocco kwa kuweka historia.
Nasimama na france. #moroccosiowaafrica
Bora hata France kuna Africans wakushato. Kuna kipindi hao waarabu koko walitaka kucheza ligi ya ulaya wakatoswa.
No body cares who you support "albalashwa"Bora hata France kuna Africans wakushato. Kuna kipindi hao waarabu koko walitaka kucheza ligi ya ulaya wakatoswa.
😁😁😁Kama unajua hawkupendi mbona unalienzi jina lao"shamimu"unajua maana yake kiarabu?Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Alishaomba msamaha , kauli imetoka kwa mtu mmoja tena sio msemaji wa timu wala kocha.Lakini si wao wenyewe waliweka wazi au hukumsikia mchezaji wao?
Haujasoma history mkuu, hadi umri huu haujui Kwanini Morocco wanaitwa waafrikaNani kakwambia kuwa hao ni waafrika ?
Kuomba msamaha ndo hatujaona, ila kusema kuwa ushindi wao ni kwaajili ya ARABs na ISLAMs tuliona!Alishaomba msamaha , kauli imetoka kwa mtu mmoja tena sio msemaji wa timu wala kocha.
Acha ubaguzi.Hao ni WaAfrika na wameenda kama wawakilishi wa Africa na wao hucheza Afcon.Acheni ubaguzi.Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Bravo mkuu,Kuna majitu yanalazimisha opinion ya mtu iwe ndo fact.Fact ni kwamba Morocco wanawakisha Africa .hao ni waafrika walio fuzu kupitia michuano ya Afrika ndipo wakaenda kombe la dunia.
wasinge pitia mchujo wa mashindano ya timu za Afrika wasinge fika hapo walipo.
ni waafrika wenzetu hilo ndio la msingi.
Weusi 9 kati ya 11....Timu ya ufaransa ina watu weusi wengi zaidi kuliko moroco