Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.

Pongezi kwa wawakilishi wetu morocco kwa kuweka historia.
Morocco siyo Africa.

Ni arab word. Washasema ivo yaani
 
Alishaomba msamaha , kauli imetoka kwa mtu mmoja tena sio msemaji wa timu wala kocha.
Kuomba msamaha ndo hatujaona, ila kusema kuwa ushindi wao ni kwaajili ya ARABs na ISLAMs tuliona!

Walipoomba kujiunga na EU tuliona.
Walipoamua kuwa sehemu ya Arabs league nje ya Africa tuliona.

Znz walipotaka kuwa OIC tuliona.

Mass land wanayokalia ni Africa, kama walivyo Boers nao walivamia na kuua native Africans pale.

Africa is for African(Black na Wahabeshi).

Arabs are not Africans, full stop.
 
Mnapinga ubaguzi huku nyie ndo wabaguzi wa kwanza
Screenshot_20221210-212959~5.jpg
 
hao ni waafrika walio fuzu kupitia michuano ya Afrika ndipo wakaenda kombe la dunia.

wasinge pitia mchujo wa mashindano ya timu za Afrika wasinge fika hapo walipo.
ni waafrika wenzetu hilo ndio la msingi.
Bravo mkuu,Kuna majitu yanalazimisha opinion ya mtu iwe ndo fact.Fact ni kwamba Morocco wanawakisha Africa .

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Timu ya ufaransa ina watu weusi wengi zaidi kuliko moroco
Weusi 9 kati ya 11....

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nasikia kombe lijalo waafrika watakuwa na team nyingi.....🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom