Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Yaan unakataa kushabikia timu kwa sababu ilitaka kujiunga na ulaya mwaka 87 halaf unaenda kushabikia timu ambayo wachezaji wake wamekataa kucheza timu zao za Africa na kwenda kuchezea timu ya ulaya mwaka 2022

Tukikuita punguani tutakuwa tunakosea View attachment 2443047
Walikataa kuchezea timu zao!? Wamezaliwa huko, wamekulia huko na soka wamelijulia huko, kuna shida wakicheza huko kama wamekubalika kwa jamii zilizowapokea!?
 
Usitafte excuses.Sas kama unabariki wachezaji wenye asili ya Africa kuchezea ulaya eti kisa wamezaliwa na kukulia kule hali ya kuwa wazaz wao ni wafrica by birth na makuzi,unashangaa nin mchezaji wa Morocco aliezaliwa ulaya kuisalit africa?
Leo Mwakinyo akimpiga Mmexico kisha akau_dedicate ushindi wake kwa wana Tanga wenzake, wadigo wenzake na waislamu wenzake itakuwa sawa!?
 
Walikataa kuchezea timu zao!? Wamezaliwa huko, wamekulia huko na soka wamelijulia huko, kuna shida wakicheza huko kama wamekubalika kwa jamii zilizowapokea!?
Sas kama wao ni sawa kuchezea huko kisa wamekubaliwa kuchezea huko though nchi zao za asili zinawahitaj,unashangaa nin Morocco kujitenga na wale waliochagua Senegal na Cameroon kama ndo wawakili halisi wa Africa hali ya kuwa Morocco ni sehem ya Africa?
 
Leo Mwakinyo akimpiga Mmexico kisha akau_dedicate ushindi wake kwa wana Tanga wenzake, wadigo wenzake na waislamu wenzake itakuwa sawa!?
Yeah itakua sawa kama akifanyiwa walichofanyiwa wamorocco na ngoz nyeus.
 
Morocco inapigwa vita sababu ni waislam nasio kutaka kwao kujiunga Ulaya na kuteleza ulimi kwa kauli ya mchezaji wao.Tuliwabagua toka kombe linaanza tukiamin africa ni Senegal,Cameroon. Swala la wao mwaka 1987 kutak kujiunga ulaya sio tatizo sabab wapo wachezaji wakubwa kutoka mataifa ya Africa yenye ngozi nyeusi walioamua kuchezea tim za ulaya,tunawafaham.Kama ngozi nyeusi zinalisalit bara la Africa why tuwablame wamorocco [emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Yaani hapo ni vita ya Christian vs islam wamejificha kwenye kivuli cha kauli ya mchezaji wa MORROCO yaani mtu yuko buza anakwambia sii support Morocco mpaka unajiuliza ana impact maana hata ashabikie au asishabikie habadilishi kitu chochote walitakiwa waseme hivyo waliopo Qatar huko waafrika sisi ni vichwa panzi bendera fuata upepo.
 
Dah Chige chuki zina gender ?
Chuki hazina gender lakini ni Wanaume ndio huwa tunafanya mambo mengi ya ovyo ovyo...

Huwezi huwezi kututenga wanaume na mambo yote ya ovyo ovyo yanayoanzia at a family to universal level.

Chuki na yenyewe ni jambo la ovyo ovyo ambalo na lenyewe ni Wanaume ndio tunaongoza kwa kuendekeza chuki.

Nchi zinapigana kwa sababu ya chuki za kidini na kikabila lakini unakuta wanaozimwagia mafuta chuki hizo ni wanaume lakini sio wanawake!

Mwanamke ameumbwa kuwa na uvumlivu. Na tayari anavumilia mambo mengi sana katika maisha yake. Kutokana na hilo, vitu kama dini na kabila la mtu haviwezi kuwa miongoni mwa mambo ya kuutia fukoto moyo wake!

Ni nadra sana kukuta mwanamke anayoonesha chuki za kidini na kikabila hadharani!

Hata hapa JF, ukiamua kupitia threads zinazochochea udini na ukabila, utakuta over 75% zinaanzishwa na sisi wanaume, na wanaochangia kwa lugha ile ile ya chuki utakuta ni wanaume!!

Ajabu zaidi ni kwamba, ni sie tuliopata bahati ya kupita darasani ndio tunaongoza kwa chuki ukilinganisha na wale wengine!
 
Walikataa kuchezea timu zao!? Wamezaliwa huko, wamekulia huko na soka wamelijulia huko, kuna shida wakicheza huko kama wamekubalika kwa jamii zilizowapokea!?
C wanajijua ni waafrica??kwa nn wasije kucheza kwenye timu zao za Africa kama wanaipenda kweli Africa
 
Mbona makasiriko mengi humu. Wakati wenyewe washasema kua ushindi wao ni kwaajili ya waislamu na waarabu.

Kwahio kama ww unawashabikia kama mdau wa mpira ni sawa na pia ni sawa usipowashabikia, ila wao ushindi wao washaweka wazi ni kwaajili yakina nani.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
C wanajijua ni waafrica??kwa nn wasije kucheza kwenye timu zao za Africa kama wanaipenda kweli Africa
Kwa hiyo kutocheza Africa ndiyo kutoipenda Africa!? Vipi wanaoondoka Africa kuzamia huko Ulaya na Marekani, wanakuwa hawaipendi Africa!?
 
Kwa hiyo kutocheza Africa ndiyo kutoipenda Africa!? Vipi wanaoondoka Africa kuzamia huko Ulaya na Marekani, wanakuwa hawaipendi Africa!?
Brother sijui hata Kama unaelewa mjadala ulikuwa nn

Mjadala Ulikuwa kuwa waafrica wameisusia morocco hoja Yao ikiwa Wamorocco wamegomea kuwa waafrica na walitaka kuwa ulaya na kikajitokeza kikundi kikasema kuwa ni bora kuwa wafaransa maana kuna waafrica wengi

Hapo ndo swali langu likaja kwa nn tuwasusie watu walitaka kujiunga ulaya mwaka 87 halaf unaenda kushabikia timu ambayo wachezaji wake wamekataa kucheza timu zao za Africa na kwenda kuchezea timu ya ulaya mwaka 2022??
 
Nimeuliza kulingana na wewe ulivyouliza! Kama huna jibu ni Sawa.
 
Eti nayoiita nyeusi [emoji23][emoji23][emoji23] aya ban.Tuliwatenga Morocco tukiamin Senegal na Cameroon ndo waafrica halisi
Tuliwatenga!? Sijui kuhusu hilo. Statement iko general sana. AfCoN ya Cameroon, binafsi nilikuwa naishabikia Egypt. Tangu anawatoa Wacameroon, akawatoa WaMorocco na Akawatoa Ivory Coast mpaka fainali akafungwa na Senegal. Hiyo ndiyo ilikuwa timu yangu. Huo ni mtazamo wako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aya sawa
 
WAfaransa hawana raha!! Wanajua kesho wamnafungasha mizigo kurudi nyumbani!! Morocco wako moto!! Kila anayetokea mbele yao lazima aangukie pua!!
 
naamini mwaka huu kombe linaletwa Afrika, tuendelee kuwaombea wawakilishi wetu Morocco.
 
ahsante Morocco kwa kupambana kufa na kupona, hakika wanastahili pongezi nyingi sana kwa mchezo mzuri walio onyesha dhidi ya Ufaransa.

pamoja na kutolewa lakini wameithibitishia dunia kuwa hawakufika nusu fainali kwa bahati bali ni kwa bidii na maarifa na uzalendo wa hali ya juu kwa Taifa lao.

Pongezi kwao kwa kuliwakilisha bara la Afrika kikamilifu na kufikia rekodi kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kifika nusu fainali kombe la dunia 2022.
 
Back
Top Bottom