JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Walikataa kuchezea timu zao!? Wamezaliwa huko, wamekulia huko na soka wamelijulia huko, kuna shida wakicheza huko kama wamekubalika kwa jamii zilizowapokea!?Yaan unakataa kushabikia timu kwa sababu ilitaka kujiunga na ulaya mwaka 87 halaf unaenda kushabikia timu ambayo wachezaji wake wamekataa kucheza timu zao za Africa na kwenda kuchezea timu ya ulaya mwaka 2022
Tukikuita punguani tutakuwa tunakosea View attachment 2443047