Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.

Pongezi kwa wawakilishi wetu morocco kwa kuweka historia.
Moroko iko ulaya zaidi kuliko Afrika, ni kama Kigamboni na Kurasini kwani ukiwa upande wa Moroko ulaya inaiona na insweza kuingia kwa kuogelea tu.
 
Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Jina lako linaonekana ni la kike, ama nakosea?!

Kama ndivyo, basi utakuwa mwanamke wa ajabu kwa kuendekeza chuki na ubaguzi! Sijui hao watoto wako wanapata malezi ya aina gani ikiwa mama anaonesha ana chuki za wazi wazi,,,

Kwahiyo huwa unawaambia "...usiende kucheza na akina Mohammed, hao ni waarabu na Waislam, mimi siwapendi"

I honestly feel sorry for your kids!!
 
kwani waislamu wamekufanya nini, mbona mimi ni mkristu lakini sihangaiki na huo upuuzi, mie nashabikia mpira sio dini.
mpira unatuunganisha sote.
Lakini si wao wenyewe waliweka wazi au hukumsikia mchezaji wao?
 
Moroko iko ulaya zaidi kuliko Afrika, ni kama Kigamboni na Kurasini kwani ukiwa upande wa Moroko ulaya inaiona na insweza kuingia kwa kuogelea tu.
lakini ilifuzu kwenda kwenye michuano ya kombe la dunia kupitia michuano ya Afrika sio michuano ya ulaya.
ndio maana tunawaita kuwa ni wawakilishi wa afrika.
 
hao ni waafrika walio fuzu kupitia michuano ya Afrika ndipo wakaenda kombe la dunia.

wasinge pitia mchujo wa mashindano ya timu za Afrika wasinge fika hapo walipo.
ni waafrika wenzetu hilo ndio la msingi.
Tumia akili acha upumbavu ule ushindi ni kwa akili waarabu,wamorocco na waislamu acha upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…