Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Huyo mchezaji amekuja kusakafia tu, lakini so many times Morocco hata viongozi wao na wananchi wa kawaida hawapendi kuitwa wa Africa, huyo mchezaji hakusema huu ushindi uende kwa wa Africa... Alisema Arabs na Muslims
Hua naona ni bora shishabikie Ufaransa kuliko hizi timu za waarabu ,,France ndio timu isiyokua na ubaguzi mtu yoyote anaenda bila shida..
 
Hua naona ni bora shishabikie Ufaransa kuliko hizi timu za waarabu ,,France ndio timu isiyokua na ubaguzi mtu yoyote anaenda bila shida..
Kwa Ufaransa tuko pamoja.Huku kwa Waarabu watu wanataka tu kujifariji baada ya Senegal,Ghana na Cameroon kutolewa.Lakini ki uhalisia Waarabu hawapendi kujinasibisha na Africa na huu ndiyo ukweli mchungu.
 
Kwa Ufaransa tuko pamoja.Huku kwa Waarabu watu wanataka tu kujifariji baada ya Senegal,Ghana na Cameroon kutolewa.Lakini ki uhalisia Waarabu hawapendi kujinasibisha na Africa na huu ndiyo ukweli mchungu.
lakini walifuzu kupitia michuano ya Afcon, bila kupitia michuano hiyo ya Afrika huenda leo hii wasinge kuwepo kwenye kombe la dunia.

Pia wao watake wasitake ni wafrika,
Pia sisi tupende tusipende ni waafrika wenzetu.

tuache katiba ka ubaguzi wa rangi.

ndio timu pekee inayo tuwakilisha kutoka BARA LA AFRIKA huo ndio ukweli na utabakia kwenye historia.
 
Nimekua nikiona mada za aina hii, naona wote wanaobisha Morocco hawapo Africa, namuona pimbi.

Swali la msingi? Kwani Uafrika ni nini? Rangi, kama ndio na wale weusi waliopo France, Belgium, Papua Guinea, South American Countries je wote ni waafrika?

Au weupe waliopo humi Afrika, je wote ni waafrika?

Ili iwe Muafrika, inabidi nchi yako iwe ndani ya bara hili regardless ya Rangi, Kimo, nywele au unene?

Afrika, tutambue uafrika sio rangi.
Wale wana tuhuma za kuomba kujiunga na umoja wa ulaya na kukataliwa, baadhi ya wachezaji na raia wao hawatamani kuwa sehemu ya Africa. Wanakuwa kama wapo Africa sababu imeshindikana kuwepo sehemu nyingine. Ndio maana wanaandamwa.
 
Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.

Pongezi kwa wawakilishi wetu morocco kwa kuweka historia.
Morocco inawakilisha Wamorocco na race yao ya Waarabu, sijui utapata lini akili?

Kama unashabikia Uafrica anza kuishabikia Ufaransa ndio INA Waafrica.
 
Hao Ni waafrica wenzetu kwa sababu wapo ndani ya mchoro wa ramani ya Afrca.Uafrica Sio rangi kuwa mweusi au mweupe.Mbona Wahabeshi Ni WaAfrica,WaMisri,WaSomali n.k.SISI NI WAAFRICA KWA KUWA TUPO NDANI YA JUMBA MOJA LA RAMANI LINALOITWA --AFRCA.
Mbona wazungu wa Africa kusini hamuwaiti Waafrica mnawaita Makaburu?
 
Watu walishasema ni kuupambania uislam na uarabu sio uafrika, labda nawe ni muislam mwenzao!
kwani lengo la mashindano ya kombe la dunia ni kupambania kitu gani? "Dini" au "Kombe"?

achana na maneno ya kuokoteza.
lengo la mashindano ya kombe la dunia ni kuunganisha watu wote wenye dini na wasio na dini.

mpira ni upendo sio chuki,
mpira ni furaha sio karaha,
mpira ni amani sio vita,

acha kujipa stress burudika na mpira.

tusitoke nje ya lengo la mashindano ya kombe la dunia.
jifunze kucheza mpira au wafundishe watoto.
chuki haijengi bali hubomoa.
 
na nyie mna kihere here.
Mmeshaambiwa ule ushindi unawahusu wamoroco na waarabu.
Mimi binafsi narudi taifa stars NIMEKOMAAA
 
Kwa kuogelea tu [emoji846][emoji846].
ndivyo mwalimu wako wa geography alivyokufundisha
Moroko iko ulaya zaidi kuliko Afrika, ni kama Kigamboni na Kurasini kwani ukiwa upande wa Moroko ulaya inaiona na insweza kuingia kwa kuogelea tu.
 
Wale wana tuhuma za kuomba kujiunga na umoja wa ulaya na kukataliwa, baadhi ya wachezaji na raia wao hawatamani kuwa sehemu ya Africa. Wanakuwa kama wapo Africa sababu imeshindikana kuwepo sehemu nyingine. Ndio maana wanaandamwa.
Kwa hiyo kwa mawazo yako wangekubaliwa bara la Ulaya wangekuwa Wazungu?
 
Kwa hiyo kwa mawazo yako wangekubaliwa bara la Ulaya wangekuwa Wazungu?
Mpira ni burudani usilazimishe mambo. Kama kuna Shabiki burudani yake ni waarabu wafungwe na kuna muarabu burudani yake ni ushindi uwawakilishe waarabu na sio watu wengine usilazimishe. Ww burudani yako ni kuwa Africa imeshinda pia sawa tu na Africa yako ya kwenye makaratasi ila watu wapo kwenye ulimwengu wa Soka ndo maana kuna mwingine anaiona ufaransa ikishinda kama vile watu wa Afrika wameshinda na anapata burudani.
 
Morocco ni warabu lakini wapo Africa na wanaiwakilisha Africa na wao ni waafrica acheni ubaguzi Uafrica sio rangi ya ngozi.
Hii ni kwa tafsiri yako, kwao ni waarabu sio wafrika na sijawahi kishududia mwarabu anajinasibu kama mwafrika au kujivunia.
Tafsiri ya mwafrika ni mtu aliyezaliwa afrika na ni mweusi.
Mhindi akizaliwa Africa huyo ni mhind, Elon musk kazaliwa Africa sijawai kusikia akijiita mwafrica.
Mweusi akizaliwa America anaitwa black america au negro na ukienda wewe mweusi kutoka huku wanakubagua.
Mchina akizaliwa Africa huyo ni mchina hakuna mwarabu anataka kuchangamana na nyie waafrica mnajipendekeza tu, unless uwe muislamu undugu katika imani.
 
Back
Top Bottom