Bauntu asukile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2020
- 324
- 442
Hua naona ni bora shishabikie Ufaransa kuliko hizi timu za waarabu ,,France ndio timu isiyokua na ubaguzi mtu yoyote anaenda bila shida..Huyo mchezaji amekuja kusakafia tu, lakini so many times Morocco hata viongozi wao na wananchi wa kawaida hawapendi kuitwa wa Africa, huyo mchezaji hakusema huu ushindi uende kwa wa Africa... Alisema Arabs na Muslims
Nimekuelewa Mkuu,ngoja nim Ignore kabisa.Acha kumjibu huyo mpuuzi ni Bora ukakaa kimya
Kwa Ufaransa tuko pamoja.Huku kwa Waarabu watu wanataka tu kujifariji baada ya Senegal,Ghana na Cameroon kutolewa.Lakini ki uhalisia Waarabu hawapendi kujinasibisha na Africa na huu ndiyo ukweli mchungu.Hua naona ni bora shishabikie Ufaransa kuliko hizi timu za waarabu ,,France ndio timu isiyokua na ubaguzi mtu yoyote anaenda bila shida..
lakini walifuzu kupitia michuano ya Afcon, bila kupitia michuano hiyo ya Afrika huenda leo hii wasinge kuwepo kwenye kombe la dunia.Kwa Ufaransa tuko pamoja.Huku kwa Waarabu watu wanataka tu kujifariji baada ya Senegal,Ghana na Cameroon kutolewa.Lakini ki uhalisia Waarabu hawapendi kujinasibisha na Africa na huu ndiyo ukweli mchungu.
Wale wana tuhuma za kuomba kujiunga na umoja wa ulaya na kukataliwa, baadhi ya wachezaji na raia wao hawatamani kuwa sehemu ya Africa. Wanakuwa kama wapo Africa sababu imeshindikana kuwepo sehemu nyingine. Ndio maana wanaandamwa.Nimekua nikiona mada za aina hii, naona wote wanaobisha Morocco hawapo Africa, namuona pimbi.
Swali la msingi? Kwani Uafrika ni nini? Rangi, kama ndio na wale weusi waliopo France, Belgium, Papua Guinea, South American Countries je wote ni waafrika?
Au weupe waliopo humi Afrika, je wote ni waafrika?
Ili iwe Muafrika, inabidi nchi yako iwe ndani ya bara hili regardless ya Rangi, Kimo, nywele au unene?
Afrika, tutambue uafrika sio rangi.
Morocco inawakilisha Wamorocco na race yao ya Waarabu, sijui utapata lini akili?Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.
Pongezi kwa wawakilishi wetu morocco kwa kuweka historia.
Mbona wazungu wa Africa kusini hamuwaiti Waafrica mnawaita Makaburu?Hao Ni waafrica wenzetu kwa sababu wapo ndani ya mchoro wa ramani ya Afrca.Uafrica Sio rangi kuwa mweusi au mweupe.Mbona Wahabeshi Ni WaAfrica,WaMisri,WaSomali n.k.SISI NI WAAFRICA KWA KUWA TUPO NDANI YA JUMBA MOJA LA RAMANI LINALOITWA --AFRCA.
kwani lengo la mashindano ya kombe la dunia ni kupambania kitu gani? "Dini" au "Kombe"?Watu walishasema ni kuupambania uislam na uarabu sio uafrika, labda nawe ni muislam mwenzao!
Ni Morocco na siyo Africa kama mnavyolazimisha,wakikusikia wenyewe Moroccan watakusomea dua ufeKwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.
Pongezi kwa wawakilishi wetu morocco kwa kuweka historia.
Moroko iko ulaya zaidi kuliko Afrika, ni kama Kigamboni na Kurasini kwani ukiwa upande wa Moroko ulaya inaiona na insweza kuingia kwa kuogelea tu.
Kwa hiyo kwa mawazo yako wangekubaliwa bara la Ulaya wangekuwa Wazungu?Wale wana tuhuma za kuomba kujiunga na umoja wa ulaya na kukataliwa, baadhi ya wachezaji na raia wao hawatamani kuwa sehemu ya Africa. Wanakuwa kama wapo Africa sababu imeshindikana kuwepo sehemu nyingine. Ndio maana wanaandamwa.
Mpira ni burudani usilazimishe mambo. Kama kuna Shabiki burudani yake ni waarabu wafungwe na kuna muarabu burudani yake ni ushindi uwawakilishe waarabu na sio watu wengine usilazimishe. Ww burudani yako ni kuwa Africa imeshinda pia sawa tu na Africa yako ya kwenye makaratasi ila watu wapo kwenye ulimwengu wa Soka ndo maana kuna mwingine anaiona ufaransa ikishinda kama vile watu wa Afrika wameshinda na anapata burudani.Kwa hiyo kwa mawazo yako wangekubaliwa bara la Ulaya wangekuwa Wazungu?
Kwani ulaya yote ni ya wazungu tu? Uturuki ni wazungu?Kwa hiyo kwa mawazo yako wangekubaliwa bara la Ulaya wangekuwa Wazungu?
Hii ni kwa tafsiri yako, kwao ni waarabu sio wafrika na sijawahi kishududia mwarabu anajinasibu kama mwafrika au kujivunia.Morocco ni warabu lakini wapo Africa na wanaiwakilisha Africa na wao ni waafrica acheni ubaguzi Uafrica sio rangi ya ngozi.
Kilichowapeleka ni Africa huko world cup hivyo Africa imeingia nusu fainalHao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi