Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3]Daaah weekend yote hiii sina hata aftatu mwe[emoji28][emoji28]
Kuna jamaa wa kusini Lindi Mtwara. Kwenye video anaonekana yuko kwenye mkutano wa hadhara,akawa anamlalamikia mtu mbele ya mkutano. Akawa anatumia sana maneno "elfu tatu"Hodi wadau, naomba kujuzwa chimbuko la msemo elfu 3, wala siulewihi na kwingineko mtandao mingine ya kijamii
Kuna mzee alikuwa analalamika anasema yeye anamkumbuka sana Nyerere, hospitali kutoa maiti ni milioni 2 ukiwapa aftatu wanakataa. Anasema analia sana kumkumbuka NyerereHodi wadau, naomba kujuzwa chimbuko la msemo elfu 3, wala siulewihi na kwingineko mtandao mingine ya kijamii
hili ndio chimbuko la msimu aftatu , sio yule jamaa wa Ntwala akiesema amepewa elfu tatu ya ushuru...Kuna mzee alikuwa analalamika anasema yeye anamkumbuka sana Nyerere, hospitali kutoa maiti ni milioni 2 ukiwapa aftatu wanakataa. Anasema analia sana kumkumbuka Nyerere
Sent using Jamii Forums mobile app