Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Umeniwahi kuanzisha huu Uzi👍
Ndio mkuu😂Ha ha ha[emoji23]
Kwa mara ya kwanza nilisoma hapa kuhusu afutatu cha ajabu nikaenda dukani nikasikia mtu akisema afutatu, nimejikuta nacheka tuTena Afutatu yenyewe ya kutuziba ndomoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kataa blaza kataaa!
Chombo ya kanali
Chanzo chake ni afutatu.Huu msemo chanzo chake ni nini?
Mkoa gani hakuna andazi la mia tatu ?[emoji23][emoji23]Mmh! Mkuu, unaishi mkoa gani? Mbona uchumi wa huo mji uko chini kiasi hicho? Chakula cha buku![emoji23] Huku ni Buku Jero. Huku hatuna andazi la 200 wala 300, huku andazi Jero! Vocha ya jero unanunua kifurushi kipi cha combo? [emoji23]
Umepigwa izo bureZa afutatuView attachment 2415183