Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23]Mmh! Mkuu, unaishi mkoa gani? Mbona uchumi wa huo mji uko chini kiasi hicho? Chakula cha buku![emoji23] Huku ni Buku Jero. Huku hatuna andazi la 200 wala 300, huku andazi Jero! Vocha ya jero unanunua kifurushi kipi cha combo? [emoji23]