Aftatu Thread, Tupigie picha aftatu yako muda huu tuione

Nadhani
Hodi wadau, naomba kujuzwa chimbuko la msemo elfu 3, wala siulewihi na kwingineko mtandao mingine ya kijamii
Kuna jamaa wa kusini Lindi Mtwara. Kwenye video anaonekana yuko kwenye mkutano wa hadhara,akawa anamlalamikia mtu mbele ya mkutano. Akawa anatumia sana maneno "elfu tatu"

Anasema wewe fulani ulitoza ushuru wa 20000 ukanipa mimi elfu tatu kuniziba mdomo.

Akasema "kataa braza kama hukunipa elfu tatu"

Akaapa kiislam. Wabinlahi.....

Akalamba mchanga chini akafanya kama kuulamba ulimini
 
Hodi wadau, naomba kujuzwa chimbuko la msemo elfu 3, wala siulewihi na kwingineko mtandao mingine ya kijamii
Kuna mzee alikuwa analalamika anasema yeye anamkumbuka sana Nyerere, hospitali kutoa maiti ni milioni 2 ukiwapa aftatu wanakataa. Anasema analia sana kumkumbuka Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili ndio chimbuko la msimu aftatu , sio yule jamaa wa Ntwala akiesema amepewa elfu tatu ya ushuru...

yule mzee akielalamika kutoa maiti mochwari ni milioni 2 ndie alisema anamkumbuka nyerere enzi zile angeitoa ile maiti kwa aftatu. tena akawa anatokwa chozi alipopewa juis akanyamaza hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…