Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23]Mmh! Mkuu, unaishi mkoa gani? Mbona uchumi wa huo mji uko chini kiasi hicho? Chakula cha buku![emoji23] Huku ni Buku Jero. Huku hatuna andazi la 200 wala 300, huku andazi Jero! Vocha ya jero unanunua kifurushi kipi cha combo? [emoji23]
nimetuma vedio hapo juu hiyo ya huyo mzee ndo ChanzoHodi wadau, naomba kujuzwa chimbuko la msemo elfu 3, wala siulewihi na kwingineko mtandao mingine ya kijamii
Hahah kumbe nimebak na mume wangu tunaulizanaKuna mzee alikuwa analalamika anasema yeye anamkumbuka sana Nyerere, hospitali kutoa maiti ni milioni 2 ukiwapa aftatu wanakataa. Anasema analia sana kumkumbuka Nyerere
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mwanangu.hili ndio chimbuko la msimu aftatu , sio yule jamaa wa Ntwala akiesema amepewa elfu tatu ya ushuru...
yule mzee akielalamika kutoa maiti mochwari ni milioni 2 ndie alisema anamkumbuka nyerere enzi zile angeitoa ile maiti kwa aftatu. tena akawa anatokwa chozi alipopewa juis akanyamaza hapohapo
Hata mimi nilikuwa najiiza sana ndio juzi nikaziona video...ila Tanzania wanajua kutrendisha kituHahah kumbe nimebak na mume wangu tunaulizana
Hahaha yaani eti afutatuHata mimi nilikuwa najiiza sana ndio juzi nikaziona video...ila Tanzania wanajua kutrendisha kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mzee alikuwa analalamika anasema yeye anamkumbuka sana Nyerere, hospitali kutoa maiti ni milioni 2 ukiwapa aftatu wanakataa. Anasema analia sana kumkumbuka Nyerere
Sent using Jamii Forums mobile app
Hodi wadau, naomba kujuzwa chimbuko la msemo elfu 3, wala siulewihi na kwingineko mtandao mingine ya kijamii
Ha ha ha,kumbeNadhani
Kuna jamaa wa kusini Lindi Mtwara. Kwenye video anaonekana yuko kwenye mkutano wa hadhara,akawa anamlalamikia mtu mbele ya mkutano. Akawa anatikisa sana maneno elfu tatu.
Anasema wewe fulani ulitoza ushuru wa 20000 ukanipa mimi elfu tatu kuniziba mdomo.
Akasema "kataa brza kama hukunipa elfu tatu"
Akaapa kiislam. Wabinlahi.....
Akalamba mchanga chini.