After China terminated support for SGR Kenya, has signed agreements for phase III-V

After China terminated support for SGR Kenya, has signed agreements for phase III-V

Only 35% of Safaricom profit remains in Kenya! Go n look at urban shareholding structure.
65% nzima inakwenda nje kwa wenye mali zao😀😀😀😀😀😀😀 kama vile kq profit ilivokua 5 yrs ago robo tatu inakwenda nje hehhehe
 
Lakini yenu ni 0km au sio?
Hili povu umevunja record humu JF. Wewe sio mchezo mkuu.😀😀 Inaonekana JF inakunyima sana usingizi😀😀
2018-05-20_18.20.08.jpg
 
Rudia ivo bila kulia sasa😀😀😀
yani ujenzi unaendelea usiku na mchana tena kwa phase zote mbili 722 km wewe ulitaka tuamke tulale alaf ujenzi tayari???😀😀😀 punguzeni funza kichwani
 
Hakuna cha bure Hii dunia lazima madini yako kwenye dili hata mwanamke hapati chipsi mayai bure.
Hahaha mchina alijenga reli ya Tazara kutoka Dar hadi Zambia kiurafiki tu tena ni miaka ya 70 wakati na yeye hali si shwari kwa sasa kufanya anayofanya huku ni mambo madogo sana anarudisha fadhila tu sio kua na marafiki wanafiki kama Wakikuyu
 
Madini aliyakula sawa sawa na atazidi tu kwa kuwa nyinyi ni wadanganyika.
 
Madini aliyakula sawa sawa na atazidi tu kwa kuwa nyinyi ni wadanganyika.
Huku si Kunya mnaoliwa ni nyie nchi yenu wenyewe mnaishi kama watumwa mambo hayaendi hadi mlambe miguu ya mabwana zenu mnabaki kua wapenzi watazamaji mtu kwenye nchi yake tu hata kakipande ka ardhi kanamshinda kumiliki
 
reli inafanywa final inspetion kabla kusafirishwa hadi juu ya matuta

gPd3EqK.jpg
 
Hiyo sio inspection
Hizo ni machine zakufunga bolts😀😀
hio ni mashini ya kupima kama tairi la reli linalengana na chuma cha reli...

anyway.... madaraja aka T-Beam s zawasili Mombasa kutoka kiwanda cha emali tayari zimedhaanza kuwekwa juu ya misingi...daraja hili litaunganisha SGR na kisiwa cha Mombasa

Xl9XRIK.jpg
3CS6edX.jpg
CL7AX5F.jpg
I77VhrP.jpg
AdvNS8w.jpg
xEpfqrZ.jpg
2faDUlw.jpg
 
after China "terminated support" ya SGR kenya... matuta ya kuelekea Naivasha yazidi kukamilika
32396410_1680141465354552_3642649101897564160_n.jpg
32467320_1680141368687895_6304407649974747136_n.jpg
32543043_1680141232021242_5321396967153074176_n.jpg
32382739_1680141192021246_5594631306077011968_n.jpg
 
hio ni mashini ya kupima kama tairi la reli linalengana na chuma cha reli...

anyway.... madaraja aka T-Beam s zawasili Mombasa kutoka kiwanda cha emali tayari zimedhaanza kuwekwa juu ya misingi...daraja hili litaunganisha SGR na kisiwa cha Mombasa

View attachment 782831 View attachment 782835 View attachment 782836 View attachment 782838 View attachment 782843 View attachment 782846 View attachment 782847
wacha kutudanganya Emali plant haina uwezo wa kutengeneza that kind of steel.
 
pale mwanzo simiti ya kujenga sleepers na T-beam ilikua inatoka china kwasababu simiti inayozalishiwa Ukanda huu sio heavy cement ya kujenga vitu vigumu ... lakini kwa sasa kampuni za simiti zilinunua mitambo ya kutengeneza simiti ya aina hio kwa standards ambazo zinakubalika na hao wachina....

ili kuhakikisha quality control wachina CRBC huchukua sampuli ya simiti hio mara kwa mara na kuifanyia testing ili kuhakikisha usawa ni ule ule

JFzkuUK.jpg
6H5ODJh.jpg
x0F76EL.jpg
39Ajhp6.jpg
 
Back
Top Bottom