mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Linapita katikati mwa Dar sluum 2.9 km? 😀😀😀umeona hilo daraja lakisasa linalopita katikati ya dar urefu wake ni 2.9km😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linapita katikati mwa Dar sluum 2.9 km? 😀😀😀umeona hilo daraja lakisasa linalopita katikati ya dar urefu wake ni 2.9km😀😀😀😀
magu atawatoa roho aiseeLinapita katikati mwa Dar sluum 2.9 km? 😀😀😀
magu ni moto heheh amewanyima kabisa usingizi wakenya na wametoa 146billion kwa ajili ya ujenzi wa chuo kikuu cha usafirishaji tanzania ni fireHahaha wachina wamesema wanafanya feasibility study kwa pesa zao wenyewe zaidi ya billion 3 (bure) kutoka Dodoma mpaka Mwanza na kutoka Tabora mpaka Kigoma na Mpanda then ujenzi utaanza on the spot
Tanzania tunabembelezwa mpaka kero
Hizi tuliona last year kwani vyuma vilikaza na kibakuli kutoboka?magu atawatoa roho aisee
View attachment 781738
Sleepers za reli Dar mpaka moro wekeni video zake kama picha hamna.
Tunaelekea Kisumu nyinyi bado Dar hamjaanza sasa Nani mpika changaa?Kazi inaendelea kulingana na work schedule. Contractor huwa na timelines za kufuata na mpango wa kufanya kazi.
You cannot plan to do a steam engine rail, then midway, you change to electric rail without planning. Such things only happens in failed states.
Wewe mtu wa kupkia mungiki changaa unaelewa nini kweli?
Hulalaa wakenya lazima waisomemagu ni moto heheh amewanyima kabisa usingizi wakenya na wametoa 146billion kwa ajili ya ujenzi wa chuo kikuu cha usafirishaji tanzania ni fire
Hawana bundles, safaricom anawapiga balaa.Hahaha.. Sasa video na picha kipi kizuri, Ama kweli Ukizaliwa MKENYA ni hasara Duniani
kisumu ya wapi munajenga kutoka nairobi to naivasha 90km nilitegemea munajenga about 300km kumbe 90km masikini au mumeanza kunusa haruufu ya white elephant😀😀😀😀Tunaelekea Kisumu nyinyi bado Dar hamjaanza sasa Nani mpika changaa?
uliona lini ??? hilo daraja limeanza mwaka huu mwezi uliopita😀😀😀😀Hizi tuliona last year kwani vyuma vilikaza na kibakuli kutoboka?
Reli yetu ni 600km n yenyu ni 0km hata kama hauna akili ni wazi kuwa ya Wadanganyika ni white elephant. Ati mnajenga bullet train ya kubebea mizigo??? 😀😀😀😀 na umeme wa 1350MW?? 😀😀😀 na deni ya $20 billion nusu ya gdp yenyu??? 😀😀😀 na Nchi yenyewe LDC?? 😀😀😀 na benki ya CDRB inapumulia kwenye mashine??? 😀😀😀 na 92% ya Dar Sluum ni Slum? 😀😀😀 na barabara tarmacked ni 1500km only?? 😀😀😀 pipeline mnawangoja maskini wenzenu waganda wawajengee??? 😀😀😀 na Dangote anazifunga viwanda Nchi ya viwonder?? 😀😀😀 Bandari ya Bagamoyo je 😀😀😀 na zile skyscrapers zenu tatu naskia hazina wateja wakuzikodisha 😀😀😀kisumu ya wapi munajenga kutoka nairobi to naivasha 90km nilitegemea munajenga about 300km kumbe 90km masikini au mumeanza kunusa haruufu ya white elephant😀😀😀😀
Aa wapi Mchina kakataa kuwapa Kshs 38 bln kumalizia Nrb-Naivasha.Tunaelekea Kisumu nyinyi bado Dar hamjaanza sasa Nani mpika changaa?
Wanahisi tupo unemployed kiasi cha kwenda kuwa tumapiga picha Ujenzi wa SGR😀😀 Ukisikia zero brain ndo huyo😀😀Hahaha.. Sasa video na picha kipi kizuri, Ama kweli Ukizaliwa MKENYA ni hasara Duniani
Zero brain Mwasiti atakwambia haoni😀😀
malory yana chimba mashino sasa ndio wanaita phase 1 hahahahaSleepers za reli Dar mpaka moro wekeni video zake kama picha hamna.
Hizo pesa tumepewa bure sio msaada😀😀😀 Hapo ndipo wanazidi kuchanganikiwa ikiwa wao mchina anawapiga cha juu😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23] Utawala huu hautawaacha Wana KIBERA salama .. Magu kawatia kichaa
Uliambiwa reli inajengwa kama barabara ?? 😀😀😀 Muda simrefu ukiona sleepers utaomba train😀😀 Mwanzo ulianza na concrete😀😀 Zero brain in the making😀😀Sleepers za reli Dar mpaka moro wekeni video zake kama picha hamna.
Akulipe kwa darasa ulilompa huyo Zero Brain😀😀Nigga masasit
Video ni picha mingi zinachezwa kwa haraka in succession 🙂
Hamna tofauti kubwa kati ya video na picha.
You can even pause a video and stare at one instance of a picture in the video for a whole day. Even more, you can extract that same image (Unaelewa maana ya screenshot??)
Unaelewa kweli maana ya 30 fps or 60fps video?
Aisee jamaa katoa povu kwenye matundu yote😀😀 Mume wahi ona mtoto akigombona na mwenzake anavyotoa claims nyingi ?? 😀😀 Ndo zero brain kawa leo😀😀Jamaa kawa kama mtoto😀Reli yetu ni 600km n yenyu ni 0km hata kama hauna akili ni wazi kuwa ya Wadanganyika ni white elephant. Ati mnajenga bullet train ya kubebea mizigo??? 😀😀😀😀 na umeme wa 1350MW?? 😀😀😀 na deni ya $20 billion nusu ya gdp yenyu??? 😀😀😀 na Nchi yenyewe LDC?? 😀😀😀 na benki ya CDRB inapumulia kwenye mashine??? 😀😀😀 na 92% ya Dar Sluum ni Slum? 😀😀😀 na barabara tarmacked ni 1500km only?? 😀😀😀 pipeline mnawangoja maskini wenzenu waganda wawajengee??? 😀😀😀 na Dangote anazifunga viwanda Nchi ya viwonder?? 😀😀😀 Bandari ya Bagamoyo je 😀😀😀 na zile skyscrapers zenu tatu naskia hazina wateja wakuzikodisha 😀😀😀