After China terminated support for SGR Kenya, has signed agreements for phase III-V

After China terminated support for SGR Kenya, has signed agreements for phase III-V

Linapita katikati mwa Dar sluum 2.9 km? 😀😀😀
magu atawatoa roho aisee
BE685AA7-80B3-4765-9323-2429047F9EE0.jpeg
 
Hahaha wachina wamesema wanafanya feasibility study kwa pesa zao wenyewe zaidi ya billion 3 (bure) kutoka Dodoma mpaka Mwanza na kutoka Tabora mpaka Kigoma na Mpanda then ujenzi utaanza on the spot

Tanzania tunabembelezwa mpaka kero
magu ni moto heheh amewanyima kabisa usingizi wakenya na wametoa 146billion kwa ajili ya ujenzi wa chuo kikuu cha usafirishaji tanzania ni fire
 
Sleepers za reli Dar mpaka moro wekeni video zake kama picha hamna.

Kazi inaendelea kulingana na work schedule. Contractor huwa na timelines za kufuata na mpango wa kufanya kazi.

You cannot plan to do a steam engine rail, then midway, you change to electric rail without planning. Such things only happens in failed states.

Wewe mtu wa kupkia mungiki changaa unaelewa nini kweli?
 
Tunaelekea Kisumu nyinyi bado Dar hamjaanza sasa Nani mpika changaa?
 
kisumu ya wapi munajenga kutoka nairobi to naivasha 90km nilitegemea munajenga about 300km kumbe 90km masikini au mumeanza kunusa haruufu ya white elephant😀😀😀😀
Reli yetu ni 600km n yenyu ni 0km hata kama hauna akili ni wazi kuwa ya Wadanganyika ni white elephant. Ati mnajenga bullet train ya kubebea mizigo??? 😀😀😀😀 na umeme wa 1350MW?? 😀😀😀 na deni ya $20 billion nusu ya gdp yenyu??? 😀😀😀 na Nchi yenyewe LDC?? 😀😀😀 na benki ya CDRB inapumulia kwenye mashine??? 😀😀😀 na 92% ya Dar Sluum ni Slum? 😀😀😀 na barabara tarmacked ni 1500km only?? 😀😀😀 pipeline mnawangoja maskini wenzenu waganda wawajengee??? 😀😀😀 na Dangote anazifunga viwanda Nchi ya viwonder?? 😀😀😀 Bandari ya Bagamoyo je 😀😀😀 na zile skyscrapers zenu tatu naskia hazina wateja wakuzikodisha 😀😀😀
 
Sleepers za reli Dar mpaka moro wekeni video zake kama picha hamna.
Uliambiwa reli inajengwa kama barabara ?? 😀😀😀 Muda simrefu ukiona sleepers utaomba train😀😀 Mwanzo ulianza na concrete😀😀 Zero brain in the making😀😀
 
Nigga masasit

Video ni picha mingi zinachezwa kwa haraka in succession 🙂

Hamna tofauti kubwa kati ya video na picha.

You can even pause a video and stare at one instance of a picture in the video for a whole day. Even more, you can extract that same image (Unaelewa maana ya screenshot??)

Unaelewa kweli maana ya 30 fps or 60fps video?
Akulipe kwa darasa ulilompa huyo Zero Brain😀😀
 
Reli yetu ni 600km n yenyu ni 0km hata kama hauna akili ni wazi kuwa ya Wadanganyika ni white elephant. Ati mnajenga bullet train ya kubebea mizigo??? 😀😀😀😀 na umeme wa 1350MW?? 😀😀😀 na deni ya $20 billion nusu ya gdp yenyu??? 😀😀😀 na Nchi yenyewe LDC?? 😀😀😀 na benki ya CDRB inapumulia kwenye mashine??? 😀😀😀 na 92% ya Dar Sluum ni Slum? 😀😀😀 na barabara tarmacked ni 1500km only?? 😀😀😀 pipeline mnawangoja maskini wenzenu waganda wawajengee??? 😀😀😀 na Dangote anazifunga viwanda Nchi ya viwonder?? 😀😀😀 Bandari ya Bagamoyo je 😀😀😀 na zile skyscrapers zenu tatu naskia hazina wateja wakuzikodisha 😀😀😀
Aisee jamaa katoa povu kwenye matundu yote😀😀 Mume wahi ona mtoto akigombona na mwenzake anavyotoa claims nyingi ?? 😀😀 Ndo zero brain kawa leo😀😀Jamaa kawa kama mtoto😀
 
Back
Top Bottom