65% nzima inakwenda nje kwa wenye mali zaoπππππππ kama vile kq profit ilivokua 5 yrs ago robo tatu inakwenda nje hehheheOnly 35% of Safaricom profit remains in Kenya! Go n look at urban shareholding structure.
Hili povu la mwaka sio mchezo. Toka JF iwepo haijawahi tokea povu kama hiliππukiskia mtu mzima anatoa povu la mwaka basi ndio hiliπππ nimecheka sana kushuhudia povu lilivomtoka puani
Lakini yenu ni 0km au sio?kutoka msa nairobi ni 422km who told you 600km unataka kutufunga kamba mchana kweupe???
Hili povu umevunja record humu JF. Wewe sio mchezo mkuu.ππ Inaonekana JF inakunyima sana usingiziππLakini yenu ni 0km au sio?
Mzungu ashakutolea mahari ama unaliwa kiholela holela? anyway last time I checked eeli ya Danganyika ni 0km.Hili povu umevunja record humu JF. Wewe sio mchezo mkuu.ππ Inaonekana JF inakunyima sana usingiziππView attachment 782087
we huoni kua ujenzi unaendelea au ulitakaje???Lakini yenu ni 0km au sio?
Rudia ivo bila kulia sasaπππwe huoni kua ujenzi unaendelea au ulitakaje???
yani ujenzi unaendelea usiku na mchana tena kwa phase zote mbili 722 km wewe ulitaka tuamke tulale alaf ujenzi tayari???πππ punguzeni funza kichwaniRudia ivo bila kulia sasaπππ
Hahaha mchina alijenga reli ya Tazara kutoka Dar hadi Zambia kiurafiki tu tena ni miaka ya 70 wakati na yeye hali si shwari kwa sasa kufanya anayofanya huku ni mambo madogo sana anarudisha fadhila tu sio kua na marafiki wanafiki kama WakikuyuHakuna cha bure Hii dunia lazima madini yako kwenye dili hata mwanamke hapati chipsi mayai bure.
Madini aliyakula sawa sawa na atazidi tu kwa kuwa nyinyi ni wadanganyika.Hahaha mchina alijenga reli ya Tazara kutoka Dar hadi Zambia kiurafiki tu tena ni miaka ya 70 wakati na yeye hali si shwari kwa sasa kufanya anayofanya huku ni mambo madogo sana anarudisha fadhila tu sio kua na marafiki wanafiki kama Wakikuyu
Huku si Kunya mnaoliwa ni nyie nchi yenu wenyewe mnaishi kama watumwa mambo hayaendi hadi mlambe miguu ya mabwana zenu mnabaki kua wapenzi watazamaji mtu kwenye nchi yake tu hata kakipande ka ardhi kanamshinda kumilikiMadini aliyakula sawa sawa na atazidi tu kwa kuwa nyinyi ni wadanganyika.
Hiyo sio inspection
609km hadi za station.kutoka msa nairobi ni 422km who told you 600km unataka kutufunga kamba mchana kweupe???
hio ni mashini ya kupima kama tairi la reli linalengana na chuma cha reli...Hiyo sio inspection
Hizo ni machine zakufunga boltsππ
Huyu na NairobiWalker ni ving'ang'anizi!Hili povu umevunja record humu JF. Wewe sio mchezo mkuu.ππ Inaonekana JF inakunyima sana usingiziππView attachment 782087
wacha kutudanganya Emali plant haina uwezo wa kutengeneza that kind of steel.hio ni mashini ya kupima kama tairi la reli linalengana na chuma cha reli...
anyway.... madaraja aka T-Beam s zawasili Mombasa kutoka kiwanda cha emali tayari zimedhaanza kuwekwa juu ya misingi...daraja hili litaunganisha SGR na kisiwa cha Mombasa
View attachment 782831 View attachment 782835 View attachment 782836 View attachment 782838 View attachment 782843 View attachment 782846 View attachment 782847