Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
.Nampongeza sana Rais kwa kuishinda Vita dhidi ya Coronavirus COVID-19, pia nampongeza sana Paul Makonda Mkuu wetu wa mkoa wa kihistoria kutokea tangu tupate Uhuru.
Jumapili ni siku rasmi ya kufungulia mbwa, mabaa, madisco, vigodoro na kila aina ya starehe iliyoadimika kwasababu ya Coronavirus COVID-19, basi jumapili ni siku ya kufanya kufuru.
Jamani ehhh...... Tafuteni wenzi, starehe za watu singo zitasababisha uhaba wa sabuni na matango Mjini.
Karibuni kwenye Beach Party yangu ya nguvu ninayoiandaa Coco Beach.
Njoo na ufagio wako na mpenzi wako aje na wake. Baada ya party tusafishe ufukwe wetu na kuacha ukiwa msafi kabisa.
Karibuni sana
.Ila msisahau corona haikingwi na watu wenye miwani meusi.
Unanikojolesha mwenzio kwa kicheko, loh.... Nimecheka kuliko Idrisa SultanCorona amewaweza wazungu tu wanaomuelewa, ameingia bongo akisema how are you anajibiwa Howard hayupo hapa.
I will be your punda, wacha mi nife lakini lazima nikufikishe โฐ๏ธPunda afe lakini mzigo ufike.
Sent From Galaxy S20 Ultra
RostamWatakaopata maambukizi ya corona J2 damu zao zitamlilia Bashite
Watu wachukue tahadhari, hamna kubeba mapapai mafenesi kwale mbuzi kondoo na oil hivyo ni vivutio vya koronaWatakaopata maambukizi ya corona J2 damu zao zitamlilia Bashite
Naona aliyekuwa Mpitimbi Yuko njiani anarudi.... Haha haha hahaha dogo mkali Sana.... Kasema mliokimbia Dar rudini, mikono na mindinga imewashwa iko road sasa
Vijana wakizingatia metre mbili za social distance zitawaepusha na maambukizi ya corona, ukimwi na mimba.Watu wachukue tahadhari, hamna kubeba mapapai mafenesi kwale mbuzi kondoo na oil hivyo ni vivutio vya korona
Tunaruhusiwa kuvaa barakoa?Nampongeza sana Rais kwa kuishinda Vita dhidi ya Coronavirus COVID-19, pia nampongeza sana Paul Makonda Mkuu wetu wa mkoa wa kihistoria kutokea tangu tupate Uhuru.
Jumapili ni siku rasmi ya kufungulia mbwa, mabaa, madisco, vigodoro na kila aina ya starehe iliyoadimika kwasababu ya Coronavirus COVID-19, basi jumapili ni siku ya kufanya kufuru.
Jamani ehhh...... Tafuteni wenzi, starehe za watu singo zitasababisha uhaba wa sabuni na matango Mjini.
Karibuni kwenye Beach Party yangu ya nguvu ninayoiandaa Coco Beach.
Njoo na ufagio wako na mpenzi wako aje na wake. Baada ya party tusafishe ufukwe wetu na kuacha ukiwa msafi kabisa.
Karibuni sana
Ilipigwa mabomu ya machozi Dar Hadi ikaenda kujificha kwenye oil na mipapaiIla msisahau corona haikingwi na watu wenye miwani meusi.