Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nampongeza sana Rais kwa kuishinda Vita dhidi ya Coronavirus COVID-19, pia nampongeza sana Paul Makonda Mkuu wetu wa mkoa wa kihistoria kutokea tangu tupate Uhuru.
Jumapili ni siku rasmi ya kufungulia mbwa, mabaa, madisco, vigodoro na kila aina ya starehe iliyoadimika kwasababu ya Coronavirus COVID-19, basi jumapili ni siku ya kufanya kufuru.
Jamani ehhh...... Tafuteni wenzi, starehe za watu singo zitasababisha uhaba wa sabuni na matango Mjini.
Karibuni kwenye Beach Party yangu ya nguvu ninayoiandaa Coco Beach.
Njoo na ufagio wako na mpenzi wako aje na wake. Baada ya party tusafishe ufukwe wetu na kuacha ukiwa msafi kabisa.
Karibuni sana