🏖️🏝️After Corona Bash (Beach Party)🏖️🏝️

🏖️🏝️After Corona Bash (Beach Party)🏖️🏝️

Imeo

Corona imeisha takwimu ziko wapi? Hii ya makonda italeta maambukizi ya ajabu balaa na watu watakaokufa ni wazazi, manake wamama na wababa kwa vurugu za vijana za siku hio. Sababu watachota huko kishwa kwenda nyumbani kuambukiza wazazi. Makonda asipolea yatima... Mungu anamwona.
Tusitishane, BASHITE ni spika tu, mtangazaji mwenyewe yupo
 
Hehehe!! Abaki huko huko maana tu yaani...huyo siju mnamuita mara Daudi Albert Bashite....
Magu ni Rais BASHITE ni Mfalme, maana BASHITE hagombezwi, hakanywi, anafanya atakalo na asemalo na Magu anatii.
Juzi BASHITE kasema mlioenda vijijini kujificha Coronavirus rudini, jamaa akawasha magari, amerudi ikulu
 
Nasisitiza atakaefanya maovu hiyo siku...Atajiharibiaa mjue.
 
Mimi nitakuwepo kupiga picha za "jinsi walivyokua kabla ya..."
 
Back
Top Bottom