After leaving Kenya, Magufuli orders highway that may cripple Masai Mara

hio picha ulioiweka kama avatar haikufai kabisa

soma hapa effect ya kujenga hio bara bara katikati ya hapo nyumbu wanapatikana upande wa tz, inaharibu ecosystem yote kabisa hata hio ya tz, uzuzu mwingi na chuki didhi ya kenya unawafanya mjimalize wenyewe., ...
kitambo uchimbaji madini karibu na kando kando ya serengeti ulikua umegomeshwa, sasa inasemekana ulianzishwa tena, sasa lengo moja ya hii barabara ni kusafirisha hayo madini kupitia hio njia fupi badala ya kuzunguka mbuga, alafu kujengwa kwa barabara inamaanisha nyumba pia zitaanzwa kujengwa kando kando ya barabara ndani ya mbuga,,...... yani mtakua mnaiharibu kabisa hio mbuga, itaondolewa kwa list ya world heritage sites.....

alafu ukumbuke watu wengi zaidi hutembelea hizi mbuga wakati wa migration ili waone nyumbu waki migraye na kuvuka mito, mkizulia hivi basi wale nyumbu wengne wengiwao watakufa maana sababu moja ya ku migrate ni kutafuta nyasi.......

Highway Development Threatens Serengeti
Naomba nikuulize swali moja. Je, mwanadamu ameumbwa kumnufaifaisha mnyama au mnyama ameumbwa kumnufaisha binadamu? Ili niweze kuendelea na mjadala
 
Mchangiaji ujue kuwa ardhi si ya binadamu peke yetu bali na wanyama na viumbe wengine. Kama ulishasafiri kabla ya kujengwa kwa barabara ya lami toka Rusahunga kwenda Bukoba nadhani utakumbuka tulivyokuwa tunapishana na twiga, swala, primate wa kila aina na wanyama wengine hata siku moja tulipishana na tembo. Leo nenda huwezi ona mnyama yeyote sababu barabara ilivyojengwa imekatisha malisho so they can not go to the east. Kule kulikuwa na miti mirefu ambayo twiga walipenda majani yake. More over sasa hivi wanyama hawawezi panda kingo za barabara hivyo wametenganishwa na koo zao. That is what will happen to the Serengeti. This is not political hii ni kwa ustawi wa viumbe wote. Wanyama na ndege tuliozoea kuwaona vijijini kama Kwale sasa hivi mtoto ni kumpigia hadithi sababu ya muingiliano wa watu na viumbe kupita kiasi.
Kwahyo kumbe ni aina ya ujengaji wa barabara mfano hyo umesema kingo za barabara ni kubwa ambazo wanyama wengi wameshndwa kupanda kuvuka upande wa pili.

Lakin cdhan kama uwepo wa barabara utazuia nyumbu kuvuka, kaa utulie utafakari neno Nyumbu mnyama huyu labda ukute humjui ila sifa yao kubwa huwa hawajui kukata kona hata kama yule nyumbu wa mbele atadumbukia shimoni wote watadumbukia humohumo ndio maana wakaitwa nyumbu na ndio maana baadhi ya watu humu huitwa nyumbu ni kwasababu ya hiyo sifa moja wapo ya mnyama nyumbu.

ila pia vpi ile barabara inayopta mikumi? nayo haiwazuii ngiri kuvuka?

Kama hz sheria zkiachwa tuu bas Africa tusingejenga barabara porini hamna pori lisilokuwa na wanyama.

Natoa maagizo hyo barabara ijengwe mara moja[emoji3]
 
Nilikuwa bado sijapata jibu why JPM asafiri kwenda Kenya kipindi hiki!now i am connecting the DOTS.
Plus, mkataba wa EPA unapelekwa bungeni saivi, inajulikana kabisa maadhimio ya bunge yatakuwaje, probably hakutaka hiyo iwe discussion pia.
 
Hahahah!

Tulishaupitisha wetu na EU na WAKAURIDHIA na kuapa kuendelea na Kenya, tena kwa mpango wa mapendeleo kwetu, mmechelewa
Nafikiri habari hizi zilipachikwa humu humu JF .....hiyo kurasa tulishaufunga!
Mnajidhalilisha wenyewe!
 
Hiyo barabara ikijengwa Trust me, Serengeti haitakua na tofauti na Arusha NP ambayo imebaki jina tu kutokana na Mt.Meru. na sidhani hata kidogo kama hiyo barabara itaweza ku-contribute hata nusu ya kile Serengeti inachokiingiza kwenye uchumi wa hii nchi ukiachilia mbali mchango wake kwenye mazingira. Project kama hizo zikitekelezeka ndio zile tunaita "Cancerous Projects"
 
itachengwa kwa kuweka daraja ili watalii waweze kupiga picha vizuri migration!
 
Easy way out sio?

Gharama yote hiyo ili kunufaisha nini hasa?.
Kunufaisha Uganda, South Sudan, Central Africa Republic, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro and Tanga regions! Barabara na park vinaweza ku-exist pamoja asikudanganye mtu! Kitu kama hii...maana kama bridge kama hii imepita Tsavo NP na Nairobi NP why not the Serengeti? Au hata tunnel basi! Hao activists wapo wapi kusimamisha Kenya na uharibifu huu? Economic benefits are way too many asikudanganye mtu! As a matter of fact kuna Serengeti Airport na railway pia itakatiza!

xLCxz6A.jpg
 
Kwahili mi naungana na Kenyans... Tanzania tutadharaulika sana kama tukitekeleza mradi huu bila ya kufata Environmental Impact Assessment ambayo najua lazima itafanyika na majibu yake yatapinga or kutoa altenatives (zenye low negative impacts to the environment) ya utekelezwaji wa huo mradi... Unless otherwise EIA statement iwetempered or idharauliwe na magu..!

Malalamishi na lawama tu kila kukicha kana kwamba Tanzania imejaa majuha wasiothamini mazingira na maliasili!

Tusijifanye kujua sana kuliko taasisi, idara na vitengo vilivyopo kuhakikisha kuna maendeleo endelevu. Na iko mifano mingi tu ya miradi mikubwa ya maendeleo ambayo hadi leo haijaanza kwa sababu ya tathmini ya madhara yake kwa mazingira km ujenzi ya mtambo wa kufua umeme Selous, barabara Arusha-Musoma kukatiza Serengenti, nk
 
Kunufaisha Uganda, South Sudan, Central Africa Republic, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro and Tanga regions! Barabara na park vinaweza ku-exist pamoja asikudanganye mtu! Kitu kama hii...maana kama bridge kama hii imepita Tsavo NP na Nairobi NP why not the Serengeti? Au hata tunnel basi! Hao activists wapo wapi kusimamisha Kenya na uharibifu huu? Economic benefits are way too many asikudanganye mtu! As a matter of fact kuna Serengeti Airport na railway pia itakatiza!

xLCxz6A.jpg
Ule mradi uliopita Tsavo effect yake si inaonekana?

Naomba ufafanuzi namna Central african Rep, South sudan na Uganda zitanufaika na hii barabara achana na hiyo mikoa umetaja...Halafu wakati unataja hizo faida nipe na za kimazingira pia, hasa conservation ya The Serengeti Ecosystem ambayo tunafahamu inanufaisha Kenya's Masai Mara, Tarangire, Lake Manyara na Ngorongoro. Because kwa jinsi una-comment it seems there is something sifahamu- So please, enlighten me.
 
Naomba nikuulize swali moja. Je, mwanadamu ameumbwa kumnufaifaisha mnyama au mnyama ameumbwa kumnufaisha binadamu? Ili niweze kuendelea na mjadala
Kama unaniuliza hilo swali basi tayari tumeshaanguka huo mtihani... Kuna wanyama wengi sana duniani wengine tunawatumia kama chakula wengine ni wa mwitu.... lakini kati ya wanyama wote duniani, binadamu pekee ndie aliepewa akili kubwa, tukajenga majumba kutumia uchimbaji wa simiti, tukajenga mabarabara, makampuni ya kutengeneza kemikali, magari yanayo haribu hewa............... kwahivyo ni jukumu letu kama binadamu kuwa na mwiito wa kulinda mazingira maanake sisi binadamu ndo tuna 'occupy' nafasi kubwa zaidi hapa duniani (kwasababu ya technologia tulizo juindia).... Africa ya kitambo 3/4 ilikua ni misitu na wanyama wanaishi, Alafu tukaamua kufungia wanyama mbuga ndani ya mipaka, wakazoea kuishi humo, sasa hivi tunawafwata techukua hako kanafasi kadogo tuliko waachia,je unafikiri tutawacha ama tutaendelea hivi mpaka siku moja hao wanyama waishe , misitu nayo tuimalize ndo tuskie raha.... kama Wangari Maathai alivyosema, "Mother Nature is very generous but very unforgiving"

wangari maathai.jpg
 
itachengwa kwa kuweka daraja ili watalii waweze kupiga picha vizuri migration!
First mlisema mnajenga barabara then in 2011mkasema watu hawakualewa kwani mlikua mnamaanisha mtaeka barabara ya murram tena mtakua mnacontrol traffic ya magari ili yasime mengi kwa wakati mmoja Tanzania's road through Serengeti to be unpaved

Alafu 2015 mkarudi tena na story ya barabara ya lami,,, Alafu eti unatuambia sasa itakua elevated?????? wapi hizo designs? kama itakua elevated basi mhakikishe kutakua hakuna barabara nyengine inapita na chini, manake tayari poachers wanasherehekea sahii, wanajua mkiaeka barabara ya lami inapitia ndani ya serengeti basi mtakua mmerahisisha kazi yao sana, wataifanya kama vile wanafanya huko south of tz ..............

Hata hii kenya yetu ilio na ufisadi inaogopa yale yanayo fanyika Tz, sana mnaongeza commercial road ndani ya mbuga,,,,, Kenya inaogopa hao poachers wakimalizana na serengeti wataanza kulemea masaai mara.. hatari sana!

Kenya: Jumbos Moving to Tanzania Risk Poaching

The Kenyan elephants are at great risk due to massive poaching in the neighbouring Tanzania, experts have warned.

Last year, Kenya lost 167 elephants to poachers while Tanzania lost more than 10,000 jumbos.
WildlifeDirect CEO Paula Kahumbu said though the elephant population at the park had stabilised between 1,500 to 1,600, the animals are at risk of being killed as the migrate to Tanzania.Most elephants migrate between Kenya and Tanzania.
"The slaughter of thousands of elephants in Tanzania clearly points to the involvement of international organised crime, which is compounded by corruption and weak enforcement capacity in the country," Kahumbu said.
She spoke at Amboseli National Park on Wednesday during celebrations of World's Elephant Day. Kahumbu said there is urgent need to scale up efforts to tackle the poaching epidemic before the region's remaining elephant herds are destroyed.
She said since 2009, at least 45 tonnes have reached the international black market from Tanzania making it Africa's largest source of poached ivory.
Kahumbu said a meeting with Tanzania's Tourism Minister Lazaro Nyalandu revealed that the numbers of elephant at Selous Reserve had dropped from 45,000 to 15,000.
She said this has made Unesco name the reserve as a poaching hotspot. Kahumbu said other massive drops in Ruaha-Rungwa are alarming.She urged the government to deploy more ranger on the borders to help curb the menace. "What we are likely to see is these organised poachers putting more pressure on the Kenyan elephants especially in Amboseli once they are done with Tanzania," Kahumbu said.
She asked the government to fasten the prosecutions of major poaching kingpins.
Kahumbu said though poaching had dropped by 50 per cent in the last 12 months, the government should not relent on enforcing the wildlife law which gives more penalties to poachers.
US Ambassador Robert Godec said his government will continue to collaborate with Kenya to fight poaching.
He said his government had already committed $6 million to help coordinate various activities and projects that would campaign against poaching.
"We shall continue to provide capacity in terms of equipment and training among other support for the government of
Kenya to effectively fight poachers,"

Serengeti ni yenu mkitaka hata mnyee humo haituhusu mtajua wenyewe. Hivyo muache kutupigia makelele miaka yote hii.
Huwa hamtuhusishi mnapowasafirisha Twiga kwa ndege ya rais na meno ya tembo, iweje leo mnapotaka kuharibu mbuga ya Serengeti mtupigie makelele.
 
Tuwe wakweli linapo kuja suala ya ujangili hasa hasa ujqngili wa meno ya Tembo Tanzania tunatia aibu sana sana!! Kibaya zaidi hata Govt officials wako involved katika Biashara hii haramu, nasikia sometimes wanatumia helicopter na telescopic sighted rifles kuua Tembo emass - wako well organised kuanzia Wizara ya mali asili, askari wa wanyama poli, TRA, Bandarini na wengine wanamiliki vyombo vya usafiri wa Baharini ni genge lenye ujeuri na lililo shindikana kutokana na jeuri ya pesa - labda kwa kuwa Mh.Rais kawatehua Majenerali wastaafa kushughulikia hujuma hizi zilizo shindikana, sina shaka wanajeshi hao watafanikiwa kuleta mabadiriko makubwa ya kuwadhibiti majangili kwa kufirisi mali zao kwanza na kuwafikisha Mahakamani - walikuwa wanajulikana kwa siku nyingi tu lakini hawachukuliwi hatua yoyote - wanaogopwa!!!

Wasi wasi wa wenzetu Kenya kuhusu usalama wa Tembo wao wakija upande wa Tanzania, wasi wasi wao huko justified kabisa, kama tuliweza kuua Faru tuliopewa kama zawadi kutoka South Africa itakuwa Tembo? - sisi hatuna maana linapokuja suala la ujangili - tunatisha.
 
Kwahyo kumbe ni aina ya ujengaji wa barabara mfano hyo umesema kingo za barabara ni kubwa ambazo wanyama wengi wameshndwa kupanda kuvuka upande wa pili.

Lakin cdhan kama uwepo wa barabara utazuia nyumbu kuvuka, kaa utulie utafakari neno Nyumbu mnyama huyu labda ukute humjui ila sifa yao kubwa huwa hawajui kukata kona hata kama yule nyumbu wa mbele atadumbukia shimoni wote watadumbukia humohumo ndio maana wakaitwa nyumbu na ndio maana baadhi ya watu humu huitwa nyumbu ni kwasababu ya hiyo sifa moja wapo ya mnyama nyumbu.

ila pia vpi ile barabara inayopta mikumi? nayo haiwazuii ngiri kuvuka?

Kama hz sheria zkiachwa tuu bas Africa tusingejenga barabara porini hamna pori lisilokuwa na wanyama.

Natoa maagizo hyo barabara ijengwe mara moja[emoji3]
Umepita barabara ya Mikumi umeona ilivyojengwa,haina trench yaani kwenda chini kiasi wanyama kama twiga kushindwa kuvuka. Hatuongelei nyumbu tu sababu serengeti si ya nyumbu migration peke yao kuna wengine ambao ni herbivorous lazima watafute malisho na ndiyo maana wanabaki carnivorous pekee sababu hawawezi kuogoelea na sanasana ngiri.

Kama Aliyejenga barabara ya Moro-Mbeya akijenga hiyo sawa sababu huwa flat na ni rahisi wanayama wakubwa kama tembo kuvuka lakini mchina aliyejenga ile ya Rusahunga alikuwa na lake jambo. Ameua kabisa mzunguko wa wanyama. Wale wenye tabia ya kuzalia walikozaliwa wenyewe ndo basi haitawezekana. Ungekuwa wewe huyo mnyama ungejisikiaje?
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
nisingejisikia vzuri

kama ni hvo basi barabara ijengwe kama ya mikumi ila ujue hyo inategemea na nature ya aridhi ilivo bt wajtahd sana wajenge barabara ambayo hao akna canavaro wataweza kuvuka
 
Viumbe vyote vikisha toweka kwa ushetani wa vitabu vyenu hivyo mtautawala mikunduo ama muyatawale majini/mapepo.

Washenz binadamu walio wengi!
Our Serengeti, our animals, our land,
Tutajenga anything there, any day..
Taratibu, Matusi are uncalled here.!!
 
Back
Top Bottom