MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hakuna mtu aliyetamba, uzi huu ulianza kwa sababu ya Makala iliyoandikwa na gazeti la nchini Kenya likiponda mradi huo wa barabara.
MK254 sikufahamu kwa kina, lakini naamini wewe Ni Mkenya, Na labda nikufahamishe tu, binafsi hakuna kitu kinanikera kama hii chuki Na majigambo ambayo imekua ikionyeshwa Na pande zote mbili, Yaani Watanzania Na Wakenya. Ifike mahali tuwe watu wa kushauriana Na kuongea mambo ya msingi, sio kila kukicha Ni habari ya kupondana Na kupigana vijembe, haijalishi Ni Nani anaanza lakini inatakiwa sote tutambue kuwa hakuna faida.
Haya bana....amani.