Hehehehe.. I like the way u ignored the fact that this project will finish Masai Mara as well.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Serengeti ni yenu mkitaka hata mnyee humo haituhusu mtajua wenyewe. Hivyo muache kutupigia makelele miaka yote hii.
Huwa hamtuhusishi mnapowasafirisha Twiga kwa ndege ya rais na meno ya tembo, iweje leo mnapotaka kuharibu mbuga ya Serengeti mtupigie makelele.
Hivi inaingia akilini watu wapate shida ya barabara ili wanyama wawe huru kusafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine? Huu ni ubinafsi kwa sababu wewe huishi maeneo hayo. Ungekuwa unaishi maeneo hayo ungesikitika kuona jinsi mwanadamu anavyoteseka ili nyumbu waweze kuhama kiulaini. BINADAMU kwana na mnyama baadaye. Hizo zote ni stori zenu tuKama unaniuliza hilo swali basi tayari tumeshaanguka huo mtihani... Kuna wanyama wengi sana duniani wengine tunawatumia kama chakula wengine ni wa mwitu.... lakini kati ya wanyama wote duniani, binadamu pekee ndie aliepewa akili kubwa, tukajenga majumba kutumia uchimbaji wa simiti, tukajenga mabarabara, makampuni ya kutengeneza kemikali, magari yanayo haribu hewa............... kwahivyo ni jukumu letu kama binadamu kuwa na mwiito wa kulinda mazingira maanake sisi binadamu ndo tuna 'occupy' nafasi kubwa zaidi hapa duniani (kwasababu ya technologia tulizo juindia).... Africa ya kitambo 3/4 ilikua ni misitu na wanyama wanaishi, Alafu tukaamua kufungia wanyama mbuga ndani ya mipaka, wakazoea kuishi humo, sasa hivi tunawafwata techukua hako kanafasi kadogo tuliko waachia,je unafikiri tutawacha ama tutaendelea hivi mpaka siku moja hao wanyama waishe , misitu nayo tuimalize ndo tuskie raha.... kama Wangari Maathai alivyosema, "Mother Nature is very generous but very unforgiving"
View attachment 428205
Income inayopatikana Serengeti na Masai Mara kutokana na hao wanyama inasaidia binadamu wangapi na ujenzi wa hiyo barabara utasaidia binadamu wangapi. Tumia stance hii kutafakari then urudi na andiko lingineHivi inaingia akilini watu wapate shida ya barabara ili wanyama wawe huru kusafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine? Huu ni ubinafsi kwa sababu wewe huishi maeneo hayo. Ungekuwa unaishi maeneo hayo ungesikitika kuona jinsi mwanadamu anavyoteseka ili nyumbu waweze kuhama kiulaini. BINADAMU kwana na mnyama baadaye. Hizo zote ni stori zenu tu
Actually its not really a fact... There is a river located on the north side of the road closer to the Kenya border, so its very possible that some of the wild beast might parmantly move northwards due to proximity of water source..... besides, people go to masai Mara because its a small space with lots of wildlife, 5 minutes after entering the park you would have seen a lion, a leopard, a jiraffe all in action........ As for the migration of wild beast which is seasonal, tourist don't come to watch wildebeest graze, they come to watch over 1 million wildbeest and hundreds of zebraz migrate, so if the road kills masai Mara because the beests won't be crossing to Kenya anymore, it will also kill the whole migration process in serengeti too, so you would have also killed serengeti itself, the migration will cieze from being the 8th wonder of the world and one of the last remaining migrations of animals in the world... Serengeti will just be a park with lost of wildbeest, nothing spectacular about that..Hehehehe.. I like the way u ignored the fact that this project will finish Masai Mara as well.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
I am sure Ecologists and conservationists will have to do biological impact assessment there to ensure ecosystem stays health besides.
Hehehehe.. I like the way u ignored the fact that this project will finish Masai Mara as well.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
I am sure Ecologists and conservationists will have to do biological impact assessment there to ensure ecosystem stays health besides.
Nairobi NP mbona hukuitetea na Ngong Forest pia? Na pia Tsavo NP? Uache unafiki! Magu kaja akaona mnachofanya nae akapata audacity kufanya pia the Serengeti!It's a fact business in Maasai Mara will be affected, since by you people blocking further migration of wildbeests, will significantly reduce the number of tourists we receive who comes solely for the purpose of viewing the spectacular event. Only a portion of the whole ecosystem is within our land, most of it is at the mercies of your precarious whims and impulses which you people are well known for.
So we are all conscious of that fact and the easiest way is to accept it, count our loses and move on.
Worry not brother! that's what you are good at, Copy pasting. Be careful next time lest you 'copy an explosive'. lol...Nairobi NP mbona hukuitetea na Ngong Forest pia? Na pia Tsavo NP? Uache unafiki! Magu kaja akaona mnachofanya nae akapata audacity kufanya pia the Serengeti!
hujui usemalo, Mikumi kuna kilometa zaidi ya hamsini na wanyama wapo kama kawa na pesa inaingia kama kawa ..Hiyo barabara ikijengwa Trust me, Serengeti haitakua na tofauti na Arusha NP ambayo imebaki jina tu kutokana na Mt.Meru. na sidhani hata kidogo kama hiyo barabara itaweza ku-contribute hata nusu ya kile Serengeti inachokiingiza kwenye uchumi wa hii nchi ukiachilia mbali mchango wake kwenye mazingira. Project kama hizo zikitekelezeka ndio zile tunaita "Cancerous Projects"
Ipo Serengeti.Hii Tabora B Gate ni sehemu gani kijiografia?
Ya mikumi ni hiyo wanayotaka kuifunga ipite nje ya park au unazungumzia ipi?hujui usemalo, Mikumi kuna kilometa zaidi ya hamsini na wanyama wapo kama kawa na pesa inaingia kama kawa ..
soma hapa effect ya kujenga hio bara bara katikati ya hapo nyumbu wanapatikana upande wa tz, inaharibu ecosystem yote kabisa hata hio ya tz, uzuzu mwingi na chuki didhi ya kenya unawafanya mjimalize wenyewe., ...
kitambo uchimbaji madini karibu na kando kando ya serengeti ulikua umegomeshwa, sasa inasemekana ulianzishwa tena, sasa lengo moja ya hii barabara ni kusafirisha hayo madini kupitia hio njia fupi badala ya kuzunguka mbuga, alafu kujengwa kwa barabara inamaanisha nyumba pia zitaanzwa kujengwa kando kando ya barabara ndani ya mbuga,,...... yani mtakua mnaiharibu kabisa hio mbuga, itaondolewa kwa list ya world heritage sites.....
alafu ukumbuke watu wengi zaidi hutembelea hizi mbuga wakati wa migration ili waone nyumbu waki migraye na kuvuka mito, mkizulia hivi basi wale nyumbu wengne wengiwao watakufa maana sababu moja ya ku migrate ni kutafuta nyasi.......
Highway Development Threatens Serengeti
Serengeti ni yenu mkitaka hata mnyee humo haituhusu mtajua wenyewe. Hivyo muache kutupigia makelele miaka yote hii.
Huwa hamtuhusishi mnapowasafirisha Twiga kwa ndege ya rais na meno ya tembo, iweje leo mnapotaka kuharibu mbuga ya Serengeti mtupigie makelele.
nimetumia lugha hio kwasababu wengi wenu hapa jf wanaoshrehekea ujenzi wa hio barabara wanafanya hivyo kisa eti itauwa masai mara..... hawajui wanajidunga vidole wenyewe....B
Boss Kwani ungeandika bila kutumia Lugha ya kuudhi wengine ungepungukiwa nini?
Sasa basi, pamoja Na hoja yako nzuri, lakini Zuzu Ni wewe Na chimbuko lako[emoji1549]
Aliyeanza kupiga kelele Ni sisi au wanawake flani kutoka nchi jirani?
Umenena vyema, Serengeti Ni yetu, tutakojoa, tutakunya Na hata kujamiiana ndani ya mbuga yetu kwa sababu Ni YETU!
Sijui wanachotaka kufanya ni kitu gani maana ni aibu kifikiria kitu cha namna hiyo wakati huohuo wanataka ku-bypass njia ya Mikimi ipite Kilosa ili kuikwepa Mikumi National Park.Kwahili mi naungana na Kenyans... Tanzania tutadharaulika sana kama tukitekeleza mradi huu bila ya kufata Environmental Impact Assessment ambayo najua lazima itafanyika na majibu yake yatapinga or kutoa altenatives (zenye low negative impacts to the environment) ya utekelezwaji wa huo mradi... Unless otherwise EIA statement iwetempered or idharauliwe na magu..!
Basi kama YENU mfanye hayo yote humo ndani bila kutuzingua, sisi tuna mambo/malengo mengi yanayotuhusu kwa sasa na hatuna muda wa kutaka kujua kama mnajamiana ndani ya mbuga lenu. Halituhusu na hatuna muda nalo, hao mnaita Serengeti watch ambao huwa wanawababaisha, ofisi zao zipo Marekani, nendeni mkatunishiane nao misuli.
Na kama kuna Mkenya amehusika katika kuwatetemesha nyie kwenye hilo la Serengeti, yeye atakua anafanya hivyo binafsi na hatuwakilishi. Mkitaka mumkamate na kumla/kumtafuna kama albino, hatutapiga makelele.
Kama Unajua fika kuwa uhusiki Na Serengeti, kilichokufanya upoteze muda kuandika comments kuhusu hii mada Ni nini?
Nashukuru kwamba umetambua kuwa mna changamoto zenu nyingi tu Kama Kenya, kwa hivyo basi ya majirani waachieni majirani, kila mtu ashike yake.
Mimi nilikua nawajibu kwa kuja kututambia na kupiga makelele huku kisa mnataka kuharibu Serengeti. Hatuna haja ya kujua.