Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Hao ni wakenya wenzio acha kuwakanya!NGOs ndio zile sizonje anawapiga vita huko kwenu, maana huwa wana unafiki. Hivyo mara nyingi wametiachia mzigo lakini kwa sababu tuna hela nyingi, tunawalisha wote, kumbuka hata omba omba wa Tanzania waliojaa huku tunawalisha pia.
Kuna sehemu nimekupa link zinazohamasisha michango ya chakula kenya, au unataka nizilete na hapa uone tena mnavochangiwa chakula?
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.