After Tanzanite, Kenya attempt to play a role of exploitative udalali on cashwnuts crumbled

After Tanzanite, Kenya attempt to play a role of exploitative udalali on cashwnuts crumbled

Mkuu Geza hili la korosho Mh. Raisi naona kama alifanya maamuzi ya jaziba na hasira. Kama alimpa muda Mh. Waziri mkuu na kabla ya muda kwisha akazuia kabaisa hao walio ahidi kununua korosho kwa bei nzuri wasiuziwe pia.

Matokeo yake serikali ikanunua kwa bei ya chini kidogo ya hizo kampuni ulizozitaja hapo juu. Pia kuhusu ubanguaji imekuwa mzigo mkubwa kwa serikali.

Mimi namuelewa sana Mh. Magufuli na ni mtetezi wake mkubwa lakini wenye ukweli lazima nisimame upande wa ukweli, mzee hapa kakosea tena sana. Nahisi atavuruga sana mtiririko wa kilimo cha korosho na soko lake.

Pia ameshajenga taswira kwamba bidhaa zetu sio za kutegemewa sana kwani mfanyabiashara akikopa pesa benki kwa ajili ya kuja kununua korosho au mazao mengine Tanzania anaweza kukumbana na maamuzi ya ghafla kama haya ya korosho mwaka huu akajikuta anafilisika kwa madeni ya fedha alizokopa bank.
 
Mimi sielewi hawa bongolala. Tulitaka kununua cashew nuts kwa bei bora(Kshs 3531) kuliko serikali ya Tanzania(Kshs 3300). Kwa hivyo tungenufaisha wakulima zaidi.
Acha uzwazwa wewe, mara ngapi imetangazwa kwamba anaetaka korosho akachukue kibali hiyo kampuni ilikuwa wapi kujitokeza? Mpaka raisi anaamua kuingilia kati ndo mnajifanya tulitaka tununue.. shnz type
#DG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jeshi la wabangua koroshoow hovyooooo..chini ya jiwe !
 
Kwa hivyo kampuni ya Kenya ilitaka kununua kwa 3,500.
Nayo serikali ya supremo ikanunua kwa 3,300.

Nadhani hata babu wa loliondo hawezi tibu ugonjwa wa akili kama huu.
 
Kwa hivyo kampuni ya Kenya ilitaka kununua kwa 3,500.
Nayo serikali ya supremo ikanunua kwa 3,300.

Nadhani hata babu wa loliondo hawezi tibu ugonjwa wa akili kama huu.
Serikali ikinunua Kwa 3300 faida inamrudia mtz tofauti na mkenya akinunua 3500 faida anaondoka nayo atakapouza bei ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ikinunua Kwa 3300 faida inamrudia mtz tofauti na mkenya akinunua 3500 faida anaondoka nayo atakapouza bei ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app

Making no sense as usual.

Serikali kununua kwa bei ya chini kuliko kampuni zingine wewe unaona inamfaidi mtz?
Kwanini serikali isilipe kama hayo makampuni ya Kenya na India, alafu yenyewe iuze kwa bei ya juu?
 
Ubongo wako inabidu tujazie kinyesi cha kuku siyo bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa palikua na sababu gani za kuwadhulumu wakulima hela yao, hebu ona mnavyowatesa soma hizi taarifa hapa Watinga ofisini kwa DC kudai malipo ya korosho

It's better if the government of tz gets profit than explotative Indians shipping huge profits to india.

Government may reinvest the profits in factories to process korosho, which will benefit farmers in long term!!!

Mikenya iko na IQ ya kiroboto.
 
But they ended up screwing the process and causing so much sufferings to thousands of Tanzanians. When a government conducts business operations while driven by malice and vendetta, be damn sure such disastrous results are bound to happen.
 
Back
Top Bottom