Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Bora mie na mapenzi na pesa hata usipo nigusa mwaka mzima ukanipa pesa wala usijali utakuja ikuta IPO bikra
 
wote wawili hao kazi basi!! hairuhusiwi hata kidogo,
 
Ungempiga picha boss wako nakuhakikishia, ungeish kwa raha apo kazin na asnge kuja kukunyanyasa kwa lolote, umekosea kwl
 
Rip dada aliyefumaniwa. Dah...hichi kitu kitamtesa sana boss. Na mumewe pia
 
Sipati picha kinacho endelea vichwani mwa wahusika wakuu.
 
Ungempiga picha boss wako nakuhakikishia, ungeish kwa raha apo kazin na asnge kuja kukunyanyasa kwa lolote, umekosea kwl
Ahatarishe kazi na uhai wake? Ushauri mungine haujatulia
 
Duuuh! Masikini mdada wa watu amechukua maamuzi magumu sana, bora angeamua kujitegemea tu
 
hatukatai kufumaniwa tena live kwa office ni mbaya ila ni muhimu watu kuelewa siyo mwisho wa maisha japo itachukuwa muda kukuweka sawa! hakuna haja ya kunywa sumu wala kujiua! pole dada yetu! ukipona jitegemeeeee fanya maisha
 
Hivi Monii huogopi uhasa kuposti aubu za wenzako?

Nawe wangia kwenye ndoa soon utaona ugumu wake.
Sidhani kama ni kosa kwasababu hajataja majina ya wahusika. Hili ni fundisho kwetu. Mimi kuna kitu nimejifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…