miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Kwa heritaratibu taratibu akigundua umekwisha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa heritaratibu taratibu akigundua umekwisha..
Ofisi yao siyo kama yenu usikariri
Bora mie na mapenzi na pesa hata usipo nigusa mwaka mzima ukanipa pesa wala usijali utakuja ikuta IPO bikrawanawake ni vigeu geu sana, unakuwa nae kwenye mausiano hadi miaka 3 wakati wote unakula vituz ana anakusifia tu oh ww mtamu oh unajua sana, unapeleka posa anakubali mara harusi watu wanashangilia sana baada ya hapo akishaanza michepuko yake akikutana na mihogo ya jangombe anaanza kashfa mara kibamia, mara kigunzi mara dakika 3 tu umeshakojoa hee! mbona kabla ya kuoana uliikuwa hulalamiki? hamjui tunahangaika sana kwa ajili ya kutafuta pesa ili familia iishi vizuri? mbona sisi hatuwasemi nyie? acheni hizo bhana....................
Ndiyokukariri tena au na ww umekariri neno kukariri.
Ahatarishe kazi na uhai wake? Ushauri mungine haujatuliaUngempiga picha boss wako nakuhakikishia, ungeish kwa raha apo kazin na asnge kuja kukunyanyasa kwa lolote, umekosea kwl
hahahahahahhahahahaBora mie na mapenzi na pesa hata usipo nigusa mwaka mzima ukanipa pesa wala usijali utakuja ikuta IPO bikra
Duuuh! Masikini mdada wa watu amechukua maamuzi magumu sana, bora angeamua kujitegemea tuMrejesho.
Mwanamke aliyefumaniwa na mumewe Leo asubuhi amekunywa sumu kujaribu kujiua kuepuka aibu.
Alitoka ofisini mida ya saa tano baada ya baadhi ya staff kumshauri akatafute wazee aende nao wakamuombee msamaha kwa mumewe.
Badala yake alikwenda kwa dada yake akiwa tayari kanunua vidonge ambavyo idadi yake haikufahamika, alipofika kwa Dada yake maeneo ya sinza alimkuta msichana wa kazi tu maana Dada yake ni muajiriwa.
Alimuagiza amletee safari dukani kisha akainywa na kumeza vidonge.
Kwa mujibu wa Dada wa kazi baada ya kunywa alikwenda kulala huku yeye akiendelea kuandaaa chakula.
chakula kilipokuwa tayari alikwenda kumuasha ili ale ndipo akakuta anakoroma huku povu latoka mdomoni, akaomba msaada kwa majirani wakamkimbiza hospital mida ya saa kumi.
Hivi ninavyozungumza amekimbizwa hospital kwa matibabu zaidi.
X x x x x x x x x x x x x x
Wandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.
Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.
Kuna mdada nafanyanae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.
Chakushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa, jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.
kwakweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea..jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.
Hivi Monii huogopi uhasa kuposti aubu za wenzako?Hii ni kweli kbsa
Sidhani kama ni kosa kwasababu hajataja majina ya wahusika. Hili ni fundisho kwetu. Mimi kuna kitu nimejifunza.Hivi Monii huogopi uhasa kuposti aubu za wenzako?
Nawe wangia kwenye ndoa soon utaona ugumu wake.
Hofu yangu atajijengea uadui wa kudumu na hao staff wenzieSidhani kama ni kosa kwasababu hajataja majina ya wahusika. Hili ni fundisho kwetu. Mimi kuna kitu nimejifunza.
Anaweza kuwa alijifanya ana duu kumbe kameshanyea zamani, cheza na bastola wewe!Bosi Jasiri Kweli. Iliendelea Kusimama?
Mmmmh! We acha tu.Sipati picha kinacho endelea vichwani mwa wahusika wakuu.
Siku zote wanadam tunaishi kiadui, au hujui hilo..najiamini mwanamke.Hofu yangu atajijengea uadui wa kudumu na hao staff wenzie