Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Afumwa akifanya mapenzi ofisini

wanawake ni vigeu geu sana, unakuwa nae kwenye mausiano hadi miaka 3 wakati wote unakula vituz ana anakusifia tu oh ww mtamu oh unajua sana, unapeleka posa anakubali mara harusi watu wanashangilia sana baada ya hapo akishaanza michepuko yake akikutana na mihogo ya jangombe anaanza kashfa mara kibamia, mara kigunzi mara dakika 3 tu umeshakojoa hee! mbona kabla ya kuoana uliikuwa hulalamiki? hamjui tunahangaika sana kwa ajili ya kutafuta pesa ili familia iishi vizuri? mbona sisi hatuwasemi nyie? acheni hizo bhana....................
Bora mie na mapenzi na pesa hata usipo nigusa mwaka mzima ukanipa pesa wala usijali utakuja ikuta IPO bikra
 
wote wawili hao kazi basi!! hairuhusiwi hata kidogo,
 
Ungempiga picha boss wako nakuhakikishia, ungeish kwa raha apo kazin na asnge kuja kukunyanyasa kwa lolote, umekosea kwl
 
Rip dada aliyefumaniwa. Dah...hichi kitu kitamtesa sana boss. Na mumewe pia
 
Sipati picha kinacho endelea vichwani mwa wahusika wakuu.
 
Mrejesho.

Mwanamke aliyefumaniwa na mumewe Leo asubuhi amekunywa sumu kujaribu kujiua kuepuka aibu.

Alitoka ofisini mida ya saa tano baada ya baadhi ya staff kumshauri akatafute wazee aende nao wakamuombee msamaha kwa mumewe.

Badala yake alikwenda kwa dada yake akiwa tayari kanunua vidonge ambavyo idadi yake haikufahamika, alipofika kwa Dada yake maeneo ya sinza alimkuta msichana wa kazi tu maana Dada yake ni muajiriwa.

Alimuagiza amletee safari dukani kisha akainywa na kumeza vidonge.

Kwa mujibu wa Dada wa kazi baada ya kunywa alikwenda kulala huku yeye akiendelea kuandaaa chakula.

chakula kilipokuwa tayari alikwenda kumuasha ili ale ndipo akakuta anakoroma huku povu latoka mdomoni, akaomba msaada kwa majirani wakamkimbiza hospital mida ya saa kumi.

Hivi ninavyozungumza amekimbizwa hospital kwa matibabu zaidi.


X x x x x x x x x x x x x x


Wandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.

Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.

Kuna mdada nafanyanae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.

Chakushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa, jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.

kwakweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea..jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.
Duuuh! Masikini mdada wa watu amechukua maamuzi magumu sana, bora angeamua kujitegemea tu
 
hatukatai kufumaniwa tena live kwa office ni mbaya ila ni muhimu watu kuelewa siyo mwisho wa maisha japo itachukuwa muda kukuweka sawa! hakuna haja ya kunywa sumu wala kujiua! pole dada yetu! ukipona jitegemeeeee fanya maisha
 
Hivi Monii huogopi uhasa kuposti aubu za wenzako?

Nawe wangia kwenye ndoa soon utaona ugumu wake.
Sidhani kama ni kosa kwasababu hajataja majina ya wahusika. Hili ni fundisho kwetu. Mimi kuna kitu nimejifunza.
 
Back
Top Bottom