Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Dada hana kifua..kwanini kajiua? Mimi sijiui..bora nihame mji nikaanze maisha pengine hata kama ni kijijini. Hana watoto huyu dada? Bado sijawaacha wanangu aisee
 
Stori la kutunga. Ninavyojua bongo wapenda udaku ingeshaenea kwenye mitandao yote na magazeti.
 
Dada hana kifua..kwanini kajiua? Mimi sijiui..bora nihame mji nikaanze maisha pengine hata kama ni kijijini. Hana watoto huyu dada? Bado sijawaacha wanangu aisee
Ana watoto wawili
 
moniccca huyo boss hana secretary? Hiyo ofisi yenu ni Tigo au, kuna Uzi wao humu!? Mana humu zishakuja story za staff wa Tigo kufanyana saa za kazi!
 
Du hiyo ni aibu ya karne na hatakuja kusahau katika maisha yake kwa kile kilichotokea na kibaya zaidi kitaadhiri maisha yake asipoangalia au asipopata tiba ya wataalam wa maswala ya psychologia atakuwa na matatizo ya akili.

Kwa upande mwingine sijapenda kwa jinsi ulivyomwanika hapa Jukwaani mtu ambae mmefanya nae mengi na mmesaidiana kwa mengi pia, na kwa taarifa yako hata kama tunatumia Id fake atakuja kukujua na kuzidi kujenga chuki kwako.

Najua tu taarifa hizo zingevuja tu lkn usiwe chanzo cha kumsambazia taarifa staff mwenzio.

Kuna mdau hapa kujwaani alikuja na uzi wa stuff mwenzao kupanda vyeo kila mara kisa mdada kuwa na mahusiano ya Mapenzi na boss wa compuni na hayo ndio madhara yake maana boss ndio anakuwa na uwezo wa kumtumia agenda vyote.
 
mume alikuja kwa fumanizi au alikuwa na safari zake 2?
 
Huwa story za namna hii zinakuwa na traffic balaa.

Mwanaume gani atafumwa then aambiwe endelea kula vitu akaweza, si itasinyaa mda huo huo? Japo kweli maofisi yamejaa ufuska but this one...nah, total scum!
 
Monii ndo atakuwa amempigia huyo bwana aje afumanie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…