Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Afumwa akifanya mapenzi ofisini

hayo majibu tu uliyatoa hapo hayaonyeshi.kama kitu hicho kilitokea! kwanza hata ww huna kazi zaidi ya jf kushinda humu.
Non of your business as long as I don't depend on you.
 
very true but don't mislead jf sons&daughters with such fake/cooked/fiction story.which you failed to prove beyond reasonable doubt.
Whether is fake or cooked all these are non of your business you man like woman.
 
Ushoga ni shiida...ulivyoandika kishabiki...na ndio shoga...ungekuwa mtu baki si ungefanya na sherehe...shogako kanywa sumu wewe badala ya kukimbia hospital kumjulia hali ...unaleta feedback za kusikia...ushoga kazi...ndio maana sinaga muda na kitu kinaitwa 'rafiki'
 
Utupe mrejesho wa hali ya afya ya mfumaniwa please!
Wandugu habari za kazi,

Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.

Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.

Kuna mdada nafanya nae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.

Cha kushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa.

Jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.

Kwa kweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea.. Jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.

XxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxX

Mrejesho:

Mwanamke aliyefumaniwa na mumewe leo asubuhi amekunywa sumu kujaribu kujiua kuepuka aibu.

Alitoka ofisini mida ya saa tano baada ya baadhi ya staff kumshauri akatafute wazee aende nao wakamuombee msamaha kwa mumewe.

Badala yake alikwenda kwa dada yake akiwa tayari kanunua vidonge ambavyo idadi yake haikufahamika, alipofika kwa Dada yake maeneo ya sinza alimkuta msichana wa kazi tu maana Dada yake ni muajiriwa.

Alimuagiza amletee safari dukani kisha akainywa na kumeza vidonge.

Kwa mujibu wa Dada wa kazi baada ya kunywa alikwenda kulala huku yeye akiendelea kuandaaa chakula.

Chakula kilipokuwa tayari alikwenda kumuasha ili ale ndipo akakuta anakoroma huku povu latoka mdomoni, akaomba msaada kwa majirani wakamkimbiza hospital mida ya saa kumi.

Hivi ninavyozungumza amekimbizwa hospital kwa matibabu zaidi.
 
Watu wana hatari jamani!! ivi unavuaje nguo ukafanya mambo mabaya kazini na una mume nyumbani...?
Kwan ww hujawahi? Sio ofisin tu, hujawahi kuvuliwa uwanjan, kwenye gari, choon, bafuni, acha kujifanya hujawahi wakat ndio mabingwa
 
Mbona umelivalia njuga sana hili jambo? njoo na mrejesho tena wa vile madoctor wamesema
 
Kwan ww hujawahi? Sio ofisin tu, hujawahi kuvuliwa uwanjan, kwenye gari, choon, bafuni, acha kujifanya hujawahi wakat ndio mabingwa
Mungu annusuru Inshallah,na akusamehe na weye unaesema kama vile ulikua shahidi...
 
Ningeshangaa sana kama wasingukuwepo wasio amini maana hata kufufuka kwa Yesu walikuwepo pia kama Tomaso na wengne. Japo kutokuamini kwao hakukuondoa ukweli.
Sio kushangaa bali ushahidi ulioleta hapa ni wa uwongo, hata mm nafsi inanisuta kuamini hapa
 
Simtetei huyo dada, ila baadhi ya wanaume wanatesa sana wanawake wao kihisia,wanawake wanachoka pia,kwa ujumla mwanamke ni mvumilivu sanaa kuliko mwanaume
Tangu mama zetu walichoshwa sema ndo vile walikuwa tegemezi wanalishwa na kuvikwa wangeenda wapi
Baadhi ya wanaume msipojirekebisha......shauri yenu
Kwahyo kuteswa ndio kukufanye ugalagazwe oyoo? Hapo nani amedhalilika?
 
Usimuonee huruma kwa ndoa kuvunjika bali muonee huruma kwa pepo la ngono alilonalo, anaweza akapata mume mwingine akarudia tena kugegedwa@
Kwa wanawake kitu muhimu wanacholinda ni ndoa isivunjike, ila kwa wanaume wanachoogopa ni aibu ya kufumaniwa tena na mke wa mtu
 
Back
Top Bottom