Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Wapi kakukumbusha, unasogeza kyupi utakuta kimelowaaa, papuchi full majimaji unasokomeza dushe unasikia sauti aahhhhshhhh[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ashii kitu kimezama kato zako nne tu wazungu hao
 
Wandugu habari za kazi,

Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.

Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.

Kuna mdada nafanya nae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.

Cha kushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa.

Jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.

Kwa kweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea.. Jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.

XxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxX

Mrejesho:

Mwanamke aliyefumaniwa na mumewe leo asubuhi amekunywa sumu kujaribu kujiua kuepuka aibu.

Alitoka ofisini mida ya saa tano baada ya baadhi ya staff kumshauri akatafute wazee aende nao wakamuombee msamaha kwa mumewe.

Badala yake alikwenda kwa dada yake akiwa tayari kanunua vidonge ambavyo idadi yake haikufahamika, alipofika kwa Dada yake maeneo ya sinza alimkuta msichana wa kazi tu maana Dada yake ni muajiriwa.

Alimuagiza amletee safari dukani kisha akainywa na kumeza vidonge.

Kwa mujibu wa Dada wa kazi baada ya kunywa alikwenda kulala huku yeye akiendelea kuandaaa chakula.

Chakula kilipokuwa tayari alikwenda kumuasha ili ale ndipo akakuta anakoroma huku povu latoka mdomoni, akaomba msaada kwa majirani wakamkimbiza hospital mida ya saa kumi.

Hivi ninavyozungumza amekimbizwa hospital kwa matibabu zaidi.
Daaaa tunashukuru kwa kutujuza hicho kituko cha aina yake ingawa ni mengi yanafanyika,vipi huyo bosi simunge mlipua na yeye?
 
Hizi ndoa zisikie tu humo vyumbani, ukute dada wa watu hajawahi kojoleshwa tangu ameingia ndoani na mbaya zaidi gunzi lenyewe kibamia....akiguswa tu ashajikojolea!!! Omba Mungu sana.
Hii post yako imewagusa wengi sana ndio maana kigwangala alipo mgusa dr mwaka alishambuliwa sana
 
Dada hana kifua..kwanini kajiua? Mimi sijiui..bora nihame mji nikaanze maisha pengine hata kama ni kijijini. Hana watoto huyu dada? Bado sijawaacha wanangu aisee
Hata kuhama kwenyewe haimsaidii cha msingi avumilie yatazoeleka tu mme akimwacha apange sehemu maisha yaendelee nakazi asiache watamsema weeeh yatapita kuliko kujiua.
 
kweli mchongo huo
Yah nimchongo maana bila mchongo wangetiana mimba na kuipeleka kwa mumewe kitanda hakizai haramu xaxa kajitia aibu bure ameshindwa kusema na hisia zake mwanamke mjinga
 
Hivi kweli bila picha tutaamini? Nn tofauti ya udaku na habari yako
Mbali na hilo hata kufunga mlango.na funguo?Kwanini bosi.kama anajiheshimu na kuheshimu ofisi yake asingesubiri lunch time kampeleka sehemu zenye staha zaidi?Au ni siku ya kufa nyani na arobaini ikichangia pia?Kwa ujumla.siku hizi heshima kwenye ndoa ni kidogo na kwa wote sio wanawake tu.Hata huko nyumbani akiamua ansaliti hata kwenye kitanda cha ndoa au aendapo sokoni huwezi mzuia ni yeye tu aamue au wewe uamue.Ndoa zilikuwa miaka hiyo ya nyuma sana.
 
Kwanini jameni watu wamekengeuka kiasi hiki? Let them suffer the quencequence.
 
Back
Top Bottom