Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
very true but don't mislead jf sons&daughters with such fake/cooked/fiction story.which you failed to prove beyond reasonable doubt.Non of your business as long as I don't depend on you.
you wrote swahili English. ape yourself with with facts not abusing people you imbicileWhether is fake or cooked all these are non of your business you man like woman.
Wandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.
Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.
Kuna mdada nafanya nae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.
Cha kushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa.
Jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.
Kwa kweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea.. Jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.
XxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxX
Mrejesho:
Mwanamke aliyefumaniwa na mumewe leo asubuhi amekunywa sumu kujaribu kujiua kuepuka aibu.
Alitoka ofisini mida ya saa tano baada ya baadhi ya staff kumshauri akatafute wazee aende nao wakamuombee msamaha kwa mumewe.
Badala yake alikwenda kwa dada yake akiwa tayari kanunua vidonge ambavyo idadi yake haikufahamika, alipofika kwa Dada yake maeneo ya sinza alimkuta msichana wa kazi tu maana Dada yake ni muajiriwa.
Alimuagiza amletee safari dukani kisha akainywa na kumeza vidonge.
Kwa mujibu wa Dada wa kazi baada ya kunywa alikwenda kulala huku yeye akiendelea kuandaaa chakula.
Chakula kilipokuwa tayari alikwenda kumuasha ili ale ndipo akakuta anakoroma huku povu latoka mdomoni, akaomba msaada kwa majirani wakamkimbiza hospital mida ya saa kumi.
Hivi ninavyozungumza amekimbizwa hospital kwa matibabu zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf raha sana... Hilo jibu kibokoKazi yenyewe huna!!!labda uache kuingia JF,,
Kwan ww hujawahi? Sio ofisin tu, hujawahi kuvuliwa uwanjan, kwenye gari, choon, bafuni, acha kujifanya hujawahi wakat ndio mabingwaWatu wana hatari jamani!! ivi unavuaje nguo ukafanya mambo mabaya kazini na una mume nyumbani...?
Mungu annusuru Inshallah,na akusamehe na weye unaesema kama vile ulikua shahidi...Kwan ww hujawahi? Sio ofisin tu, hujawahi kuvuliwa uwanjan, kwenye gari, choon, bafuni, acha kujifanya hujawahi wakat ndio mabingwa
Ukijaribu hutaacha hivi vyakuiba halafu mazingira hatarishi ni vitamu mno, hapo ilikuwa full mizuka,Mungu annusuru Inshallah,na akusamehe na weye unaesema kama vile ulikua shahidi...
Sio kushangaa bali ushahidi ulioleta hapa ni wa uwongo, hata mm nafsi inanisuta kuamini hapaNingeshangaa sana kama wasingukuwepo wasio amini maana hata kufufuka kwa Yesu walikuwepo pia kama Tomaso na wengne. Japo kutokuamini kwao hakukuondoa ukweli.
Kwahyo kuteswa ndio kukufanye ugalagazwe oyoo? Hapo nani amedhalilika?Simtetei huyo dada, ila baadhi ya wanaume wanatesa sana wanawake wao kihisia,wanawake wanachoka pia,kwa ujumla mwanamke ni mvumilivu sanaa kuliko mwanaume
Tangu mama zetu walichoshwa sema ndo vile walikuwa tegemezi wanalishwa na kuvikwa wangeenda wapi
Baadhi ya wanaume msipojirekebisha......shauri yenu
Lete mrejeshoUsiamini tu wala hakuna shida
Rafki yako bado hajafa tu?Usiamini tu wala hakuna shida
Kwa wanawake kitu muhimu wanacholinda ni ndoa isivunjike, ila kwa wanaume wanachoogopa ni aibu ya kufumaniwa tena na mke wa mtuUsimuonee huruma kwa ndoa kuvunjika bali muonee huruma kwa pepo la ngono alilonalo, anaweza akapata mume mwingine akarudia tena kugegedwa@
no,inasogezwa kidogo,upatikane upenyo tu. kuivua yote msala.Hapo anavua chupi tu