Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Hii habar yaweza kuwa kweli kabisa. Cjaona kisichowezekana. Pole yake bi mdada, kwan boss kwa mkewe shwari
 
Huyo Boss hana secretary wake ? Amekuja mtu bila appointment anaingia moja kwa moja kwenye office ya boss ??
 
Inawezekana jamaa alikuwa anatrack mawasiliano ya mkewe. You never know!
 
Swali kwa wanaume: ukishikiwa bastola bado dushe inaweza kufanya kazi? Yaani network inakuwa H+?
Pole yake bidada..km ndio mie home sirudi. Na huyo boss lazima anioe hata kwa nguvu.

Ndoa za kulazimisha siku zote hazifai, utakua umekubali kuolewa na na mzinzi mwenzako hivyo na wewe jiandae kufumania@
 
Mkuu stori hii ni ya kweli nilikuwa nahitaji huduma ya bima ya gari Leo nikapita mahali fulani nikakuta ndo habari ya mjini, nimeshangaa kuikuta imesharushwa jf
 
Mmh sio Chai hii kweli,? Anyway uje na mrejesho
 
Ndoa za kulazimisha siku zote hazifai, utakua umekubali kuolewa na na mzinzi mwenzako hivyo na wewe jiandae kufumania@
Tutakuwa tumekutana wote wazinzi. Tutavumiliana uzinzi wetu
 
Monicca nae ni jipu, pia una sehemu ya ushiriki wa hii , ofisini kwa boss Kama hakuna PS si unagonga kwanza hadi uruhusiwe kuingia ndipo uingie.
 
Siamini kama kuna mtu ana ujasiri wa kushimamisha katika situation hiyo, kafumaniwa + kashikiwa bastola + watu wanamuangalia basi ni porn star huyo
Acha kukoti basi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…