Afumwa akifanya mapenzi ofisini

....eti kama vile nawe unamsubiri bosi amalize kazi humo ofisini uingie wewe
...ha ha ha ha! Mwezio leo kawa kama amelowa na mvua hata akipewa haisimami tena.. Stress mpaka kwenye meno, cheza na fumanizi wewe!
 
Bosi nae kiboko kufumaniwa kote huko bado kaweza kuendelea na mzigo.. Haikunywea?
 
Hii chai sababu ya hiki kibaridi ngoja niendelee kunywa, japo ni ngumu sana kuendelea kupiga mzigo wakati ushafumaniwa
 
Watanzania wengi wanatumia muda mwingi kwa starehe

Utafiti uliofanyika hivi karibuni na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) umebaini kwamba asilimia 71 ya watanzania wanatumia muda mwingi kufanya shughuli zisizokuwa za uzalishaji mali wala tija binafsi kwao na Taifa kwa ujumla.

Inawezekana utafiti huu ukawa na ukweli aise!
 
Mtoa taarifa taja jina la ofisi ili nawengine wenye wachumba au wake ofisi hiyo waanze uchunguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…